Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,439
50,957
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.

Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.

Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tutawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.

Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la sivyo Andungulile achia hiyo nafasi hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
 
Kama waliweza kuzima Mitandao yote October 28 hadi November 3 hawaoni shida tena sababu watu walipoteza pesa kwa biashara za mitandao ila hakuna reaction yoyote!

Hata leo wanaona sawa then watakuja wawaambie watu wajiajiri kwenye youtube channel usajili unalipa laki 5! CCM ni ile ile

Zidumu fikra za mwenyekiti au nasema uongo ndugu zangu?
 
Nikiwa kama mtumiaji mkubwa kampuni hii...naona imeminya sana huduma za nawasiliano...

Haiwezekani kupiga 3/4 nzima mteja anapata 1/4 pekee. Mbaya zaidi serikali imetangaza kutoongeza bei..wao wamebaki na wanatupiga vby
Hongera! @Umepokea #60 (Mitandao Yote) + Dk 80(Halotel) + 4096 MB + SMS 100 hadi 00:23 00/00/2021. Asante!

Hii ni kwa shilingi 10,000/=

Sio fair.


Huyu anaendelea na Ubalozi??
 
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom