Kweli asilimia karibu yote ya wanaume wa Tanga ni wavivu, Nauliza tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli asilimia karibu yote ya wanaume wa Tanga ni wavivu, Nauliza tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Msandawe Halisi, Jan 21, 2011.

 1. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]Leo nipo maeneo ya Matejoo Arusha. Kwa mara ya sita sasa sikio langu limekosa mipaka ya kusikiliza hili jambo. Jana wadada fulani hapa maeneo niliyo fikia, walikuwa wakimteta mwenzao ambaye amechumbiwa na kijana toka mkoa wa Tanga. Moja wapo akisema, hata mahari iwe milioni kumi, siolewi na mtu wa Tanga. Wavivu haoo![/FONT]

  [FONT=&quot]Jamani Tanga kunani, Je ni kweli au uvumi tu. Nini chanzo cha yote?[/FONT]
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  ndugu sasa mitopiki yako inaboa, kama unafanya research ya makabila tujulishe tukupe e mail zetu utume questionaire tujibu maswali yote kwa mpigo sio kila siku unakuja na moja moja yanachosha sana
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe mtoa mada ni mpuuzi, huyo dada nae ni mpuuzi.
   
 4. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45

  Tatizo ni lako ndugu. Ulazimishwi kosoma topic zangu. Ukiona Msandawe, ipotezee.
   
Loading...