Kweli Asharose Migiro hakukosea lipomuita Seif Khatibu mpenzi wangu

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Acha picha iongee asharose.jpg
 
Hii iko tofauti sana kabisa kwa sababu sijaongeza neno hata kidogo na hakuna kafsha yoyote kwenye hiyo picha
Ha! ha! ha! ... mkuu nitonye ... mbona unajitetea?! ... wewe ngoja tu utakutana nao mahakamani then maneno hayo ya utetezi wako ndio utamwambia Judge!! .. teh! teh!!

653b12140078466d2f4780eed8f17725be32e8a931fe66832eed87c444f1a934.jpg
 
Hii iko tofauti sana kabisa kwa sababu sijaongeza neno hata kidogo na hakuna kafsha yoyote kwenye hiyo picha

Ile sheria inasema kurusha tu picha kwa njia ya mtandao, picha ambayo wakubwa hawaipendi tayari unakuwa umetenda kosa la kimtandao nitonye..

Naichukia hii sheria basi tu

Mkuu mshana jr ndo tuhakikishe ifikapo October 25 tunafanya maamuzi sahihi kwa kuitoa ccm madarakani.. Ninaamini sheria nyingi za kijinga na kipumbavu zitafutwa..
 
Last edited by a moderator:
Kamwe katika maisha usitumie picha kuhukumu mtu,take care.

acha kunitisha wewe nani kahukumu hizi picha mbona zimejaa hapa jf hivi unadhani wote hatujui sheria kwani hiyo imemdhalilisha wapi nionyeshe acha kutengeneza stori
 
Hilo shtaka lingeweza kufunguliwa tu bila ya kujali sharia ya makosa ya mtandao imepitishwa au haijapitishwa, japo mimi sio mtaalam wa mambo ya sharia lakini naona wametumia kifungu cha sharia ya mwaka 2002. Swali la msingi, sharia mpya ya makosa ya mtandao imesha sainiwa?

Mkuu hakukuwa na sheria ambayo mtandao ulikuwa included.. Na sidhani kama ukikifungua hicho kifungu mtandao umetajwa.. Mara nyingi wanachemka hawa wanasheria wa serikali..

Na kujibu swali lako la msingi, Sheria imesainiwa jana Mkuu..
 
Mkuu Samaritan naomba unisaidie kuidadavua hii sheria hapa chini.. Hii ndio iliotajwa kwenye hiyo sheet ya mashtaka hapo juu..

31.-(1) A "seditious intention" is an intention–
(a) to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or the Government thereof; or
(b) to excite any of the inhabitants of the United Republic to attempt to procure the alteration, otherwise than by lawful means, of any other matter in the United Republic as by law established; or
(c) to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the administration of justice in the United Republic; or (d) to raise discontent or disaffection amongst any of the inhabitants of the United Republic; or
(e) to promote feelings of ill-will and hostility between different categories of the population of the United Republic

32.-(1) Any person who–
(a) does or attempts to do, or makes any preparation to do, or conspires, with any person to do, any act with a seditious intention;
(b) utters any words with a seditious intention;
(c) prints, publishes, sells, offers for sale, distributes or reproduces any seditious publication;
(d) imports any seditious publication, unless he has no reason to believe that it is seditious,
 
Last edited by a moderator:
hii sheria mhhh:A S 13: watatufanya tushindwe kuchangia lile jukwaa pendwa mshana jr
 
Hii iko tofauti sana kabisa kwa sababu sijaongeza neno hata kidogo na hakuna kafsha yoyote kwenye hiyo picha
Mkuu akuna atakaefungwa kwa ajiliya picha ...wakwanza kuulizwa aliekubali kupigwa picha

Mbona sioni ubaya wake hapo
 
hii sheria mhhh:A S 13: watatufanya tushindwe kuchangia lile jukwaa pendwa mshana jr

Ile sheria itakaa tu kwenye makaratasi tu wakitaka kuitekeleza wapanue magereza maana haya yaliyopo hayatatosha
 
Ile sheria itakaa tu kwenye makaratasi tu wakitaka kuitekeleza wapanue magereza maana haya yaliyopo hayatatosha

watajifunga wenyewe pia maana wengine tushahifadhi screenshots kama za kina lemutuz..na post zao za uzushi na vijembee
 
Back
Top Bottom