Kwel polisi wamelogwa hili nalo ni gar lilikua linalinda msafara wa rais unaopita v8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwel polisi wamelogwa hili nalo ni gar lilikua linalinda msafara wa rais unaopita v8

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kokwa kavu, Feb 23, 2012.

 1. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hao ndo jesh la polis hajielew
   

  Attached Files:

 2. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa vyema hoja yako. Unalionaje kwamba halina hadhi au uwezo?
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Msafara wa Kikwete unapopita hata na wakuu wa Vituo Vya Polisi (OCS), OCD, e.t.c wa eneo husika huwa wapo ndani ya kumi na nane ya msafara huo...!!!
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Aibu tupu miaka 50 ya uhuru polisi inatembelea gari lilojaa kutu
   
 5. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Cio haki yao sa kuna haja ya polis kuwa na miaka 50 ya uhuru
   
 6. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Makao makuu ya nbc sokoine drive hapo sa hch kigar kmetoka wap o makumbusho ya taifa
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hii gari nishawahi kuiona maeneo ya round about jitegemee daaa kiukweli imechoka kinomaaaaaa!
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hiyo gari naifahamu ni 6 cylinder inakimbia kweli kweli
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  ​Still in good running condition, inaweza kumfukuza dreva wa fuso iliyojaa mali ya magendo kutokea Zanzibar kupitia Bagamoyo.
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Gari la namna hilo linaweza kusababisha ajali katika msafara wa rais, kiukweli halina sifa.
   
 11. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwahyo inaweza lakin kwa road hata halikamat guta
   
 12. d

  dav22 JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he sasa kwani kunatatizo gani askari kutumia hiyo gari kama wanaishi kwenye nyumba zinazofanana na vibanda vya choo??
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hilo gari linafanana na mazingira wanayoishi?
   
 14. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Like father like son
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Poa Tu....Hata Rais mwenyewe Hana SIFA
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo gari kitega uchumi cha mtu, hapo inapata mgao wa mafuta full,dokezo la vipuri nk watu wanatia mfukoni!
   
 17. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwel huo mtaj ila serikal c wanajifanyaga wazee wa disposal
   
Loading...