Kwaya ya ambassodors of christ toka Rwanda ndani ya mwanza

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Karibuni,kiingilio vip elfu kumi na kawaida ni elfu tatu:Kwetu pazuuuuuuri....
 
napenda nyimbo zao na mapozi yao sana sana yule aliyeimba kwetu pazuri,..hebu nichukue flight labda naweza kubahatika kupata namba yake ya simu..halafu nasikia wasabato kwa hiyo ofa yangu ya kitimoto niiweke kapuni,na wala hanywi coca cola
duh
 
wamekuja na passport au wameruka border kama walivyozoea?

Sio ajabu? Mbona kule kwa yule babu wa Loliondo wakenya walijazana kama vile ni Nakuru? Hadi askari wenye uniforms walikuwa wanaingia, thubutu askari wa bongo aingie na Uniform kenya!
 
Watunge na nyingine sasa....Hii Kwetu Pazuri mwishowe ITABOA......

Ni kweli ktk album tatu nilizonazo nyimbo nzuri ni kama tatu tu. Kwetu pazuri ni mzuri sambamba na mwimbishaji
.Yule dada analibeba sana kundi lile atafanya vizuri akiwa solo uimbaji wake sio wa kikwaya kwaya
 
Watunge na nyingine sasa....Hii Kwetu Pazuri mwishowe ITABOA......
Sidhani kama itaboa kwani bado tunasikiliza nyimbo za miaka ya nyuma kama nyimbo za Ulyankulu ni kwaya ya siku nyingi lakini nyimbo zake bado zinapendwa. Kikubwa katika muziki wa injili ni ujumbe uliopo sio midundo gitaa linavyopigwa etc. Sikiliza ujumbe utaelewa kwamba sio wimbo utakaokufanya uboreke.
 
Back
Top Bottom