Kwata!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Heshimaaa...kulia!!!!
 

Attachments

  • SALUTI.JPG
    SALUTI.JPG
    154.2 KB · Views: 515
Wamependeza sana! Na huko waendako kuna JKT inawangoja.
Ni shule gani hii Mkuu? St. RizOne?.. au!
 
safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana
 
Hamna kitu apo. they have to do alot to get there. we need perfection sio ubabaishaji.
vikizeeka hivi vitakuwa legelege sana.

except kwa mikono yote ya kulia kuwa kichwani.
all other features of the parade are pathetic
 
Kweli waliko ni mwanzo tu mpaka kuja kufikia level ya chuo watakua wanasoma kwenye historia rais aliyeboronga zaid TZ
 
mambo ya maadili huanza kwawazazi, waalimu na halafu wanafunzi ,hapo hta ukakamavu ,ujuzi,na maarifa hujitokeza cheki wanavyokubalika
 
Back
Top Bottom