Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,746
Kwasasa nimekua na moyo wa plastic, yaani sijui kupenda mwanamke, ile kitu kupenda kwangu imeshaisha. Nikichukua namba za mwanamke nikiona analeta nyodo, nazifuta fasta kabla sijazikariri. Ile kitu kubembeleza mimi kwangu ni marufuku, nikiona nataka game unanipiga chenga naweka dau mezani, ukikaza nakupiga chini.
Yaani kwasasa sio mtongozaji, ni mtu wa kuweka pesa mbele, pesa ya kitanzania ndio inanisaidia kutongoza na ninaishukuru sana shillingi ya kitanzania kwani inanitendea maajabu, kwenye 10 lazima niwapate 7.
Ninashukuru haya maisha kwani sina stress kabisa, ni mwendo wa kutusua tuu.