Kwasasa sijui nimekuaje, nimekua na roho ngumu sana

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Kwasasa nimekua na moyo wa plastic, yaani sijui kupenda mwanamke, ile kitu kupenda kwangu imeshaisha. Nikichukua namba za mwanamke nikiona analeta nyodo, nazifuta fasta kabla sijazikariri. Ile kitu kubembeleza mimi kwangu ni marufuku, nikiona nataka game unanipiga chenga naweka dau mezani, ukikaza nakupiga chini.

Yaani kwasasa sio mtongozaji, ni mtu wa kuweka pesa mbele, pesa ya kitanzania ndio inanisaidia kutongoza na ninaishukuru sana shillingi ya kitanzania kwani inanitendea maajabu, kwenye 10 lazima niwapate 7.

Ninashukuru haya maisha kwani sina stress kabisa, ni mwendo wa kutusua tuu.
 
Da jamaa bana,nimeshangazwa sana na hiyo unayoiita roho ngumu,kama na wewe una roho ngumu basi jua wenye roho ngumu wako hatarini kutoweka ulimwenguni
 
Kwasabbu unanijua, sawa, Sawa nina stress sana
Kama nilivyowaza. Sikutegemea jibu tofauti na hili.

Belive me uko na stress kubwa sana na zimekupeleka kwenye tatizo la kisaikolojia. (Kama mada uliyoleta ni halisi.)
 
Kama unatumia pesa unawatokea mademu wa nn chukua malaya kabisa ndio wapo kipesa zaidi.
 
Back
Top Bottom