Kwasasa nimedhamiria kujiajili kwa dhati,naombeni mnishike mkono nitimize adhma yangu

thandiwe

Senior Member
Oct 27, 2017
163
164
Maisha niliyoyaishi mpaka umri huu kama mwanamke nimengi nimevumilia kiasi kwamba nilikuwa radhi kukubali manyanyaso na changamoto zote ili niifurahie kesho yangu.

Kwa wanajamii forum niliowahi kuonana nao wanaijua story yangu kiasi,nakiri mlinipa ujasiri sana kwa maneno yenu ya Busara.

Ndugu zangu nimejitahidi kusave chochote nilichokuwa napata katika ajira zote ndogo ndogo nilizopitia. Ili nami nisimame pekeyangu.
Ndio nikaamua kuja na wazo la Fast Food.

Hili wazo ni la muda sana kwangu japo natamani niliboreshe na kulifanya kuwa na RECIPE za kipekeyake.Tafadhali naombeni mnishike mkono katika hili kwani nimeamua kujitoa kwa moyo wote kutafuta rizki kwa mikono yangu ili kutokuwa mzigo mbeleni. Japo changamoto ni Mtaji tu wa kufanikisha hili.
 
i have a full bussines plan ya hio biashara, inalipa sana sanaa, naitoa kwa either anayehtaj tufanye collabo, anaetaka anunue, ambaye yupo tayar ku share mawazo yake pia, Ambaye ameanza(nikathbtisha) na amefka mahali anahtaj ushauri au anayetaka kunishaur na kuongeza mawazo yake. Kwa yeyote ambaye anaingia katka vgzo hvyo na anahtj bas nipo mda wowote. Mwisho natafta mtengenezaji mzuri wa Bites, Snacks aina zote, juices Nk, sio kwa sasahv ila mda si mrefu nitamhtaj(Sio Dar), nikimpata mapema sio mbaya. Ninataka niwekeze kwenye hii industry.
 
i have a full bussines plan ya hio biashara, inalipa sana sanaa, naitoa kwa either anayehtaj tufanye collabo, anaetaka anunue, ambaye yupo tayar ku share mawazo yake pia, Ambaye ameanza(nikathbtisha) na amefka mahali anahtaj ushauri au anayetaka kunishaur na kuongeza mawazo yake. Kwa yeyote ambaye anaingia katka vgzo hvyo na anahtj bas nipo mda wowote. Mwisho natafta mtengenezaji mzuri wa Bites, Snakes aina zote, juices Nk, sio kwa sasahv ila mda si mrefu nitamhtaj(Sio Dar), nikimpata mapema sio mbaya. Ninataka niwekeze kwenye hii industry.

Unaiuza tshs ngapi??
 
Unaiuza tshs ngapi??
Ningependa sana ambaye ningefanya nae collabo maana huu n zaid ya hela, ila si mbaya
Kwa member wa humu ni 35000 japo kishngo upande maana huu ndio mtaji wenyewe, kuna mtu nilimpa (kumbe alikua na mtaji tayari) sitaki kusema mengi ila ameufanyia kazi kweli kweli, bahati amefanyia kweny location tofauti ila angefanyia hapo nilipopanga nisingekua na changu tena.
 
i have a full bussines plan ya hio biashara, inalipa sana sanaa, naitoa kwa either anayehtaj tufanye collabo, anaetaka anunue, ambaye yupo tayar ku share mawazo yake pia, Ambaye ameanza(nikathbtisha) na amefka mahali anahtaj ushauri au anayetaka kunishaur na kuongeza mawazo yake. Kwa yeyote ambaye anaingia katka vgzo hvyo na anahtj bas nipo mda wowote. Mwisho natafta mtengenezaji mzuri wa Bites, Snakes aina zote, juices Nk, sio kwa sasahv ila mda si mrefu nitamhtaj(Sio Dar), nikimpata mapema sio mbaya. Ninataka niwekeze kwenye hii industry.
Uko wapi?
 
Ningependa sana ambaye ningefanya nae collabo maana huu n zaid ya hela, ila si mbaya
Kwa member wa humu n 35000 japo kishngo upande maana huu ndo mtaji wenyewe, kuna mtu nilimpa(kumbe alikua na mtaj tayar) sitak kusema meng ila ameufanyia kaz kweli kweli, bahat amefanyia kweny location tofaut ila angefanyia hapo nilipopanga nisingekua na changu tena.

Tatizo uko DSM, ungekua mkoani tu hasa dodoma ni utajiri
 
Mm Nahitaji collaboration Nicheck pm
 
boresha mazingira ya usafi, toa bidhaa nzui kwa asilimia 90 simamia wewe mwenyewe usimwamini mswahili hata siku moja wapo kwa ajili ya kukupiga tu
 
Tatizo uko DSM, ungekua mkoani tu hasa dodoma ni utajiri
Mm Nahitaji collaboration Nicheck pm
Nipo chuga, sehem nilizopanga ni hapa, Dom na Tanga, Mtaji n 7M, japo tukielewana tukakutana twaweza changanya mawazo either tu ucquize au tuukuze, mimi bado nakusanya hela. kama kuna aliye serious tuanzie hapo kwanza sio tushndwane wakat tushapeana namba, ujanja ujanja wa mjin hauruhusiwi.
 
Nipo chuga, sehem nilizopanga ni hapa, Dom na Tanga, Mtaji n 7M, japo tukielewana tukakutana twaweza changanya mawazo either tu ucquize au tuukuze, mimi bado nakusanya hela. kama kuna aliye serious tuanzie hapo kwanza sio tushndwane wakat tushapeana namba, ujanja ujanja wa mjini hauruhusiwi.
OK boss mimi nipo Mwanza,,, umbali ni changamoto hapa naona
 
i have a full bussines plan ya hio biashara, inalipa sana sanaa, naitoa kwa either anayehtaj tufanye collabo, anaetaka anunue, ambaye yupo tayar ku share mawazo yake pia, Ambaye ameanza(nikathbtisha) na amefka mahali anahtaj ushauri au anayetaka kunishaur na kuongeza mawazo yake. Kwa yeyote ambaye anaingia katka vgzo hvyo na anahtj bas nipo mda wowote. Mwisho natafta mtengenezaji mzuri wa Bites, Snakes aina zote, juices Nk, sio kwa sasahv ila mda si mrefu nitamhtaj(Sio Dar), nikimpata mapema sio mbaya. Ninataka niwekeze kwenye hii industry.
Mzee hadi snakes?
 
reyzzap mimi nlishakuwa kwa industry hiyo nimesimama mwaka jana najipanga ninyanyuke, nikiwa sawa nami nitakucheki tuwekee hilo libusiness plan
 
OK boss mm nipo Mwanza,,, umbali ni changamoto hapa naona
haina shida boss, ni bonge ya bussiness, katka mipango yangu mwanza ipo ila naanza na mikoa niliyoizoea, sababu wewe unauzoefu na huko hope tutafanya bussines mana advantaje ni kwamba u mzoef tayari, kama hutojali waweza ni-pm kwa meseji tu ili siku nikakuhitaji iwe rahisi ku refer inbox.
 
Back
Top Bottom