Kwasasa maadui wa nchi hii si ujinga maradhi na umasikini ni CHADEMA

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
3,271
2,000
Kama nchi kwa Sasa tumeshahamisha ajenda zetu za kupambana na maadui hawa watatu toka enzi za nyerere na Sasa tupo zama nyingine ambayo Serikali ya Chama Chama Cha mapinduzi imeamua kuja na ajenda mpya hii

Janga la ukame lilishatangazwa mapema na mamlaka ya Hali ya hewa TMA lakn serikali illikuwa na ipo bize na kupambana na upinzan badala ya kutatua kero za wananchi

Leo wanakuja na hoja mfu kuwa wanarekebisha mtambo wa kufua gesi kana kwamba huu ukame n suala la ghafla TMA walitoa tahadhar toka mwezi Mei leo n November

Wapo na propaganda zao pesa za mkopo za COVID 19 wanpeana vyeo vya kujivika kuwa wamezitafuta wao wanakauli zao PESA ZA RAIS lakn wanaolipa huo mkopo n wananchi nchi yangu inaelekea wapi?

Mm naomba mje na majibu mtueleze je maadui Hawa watatu ujinga maradhi na umasikini tayari tushawamaliza?

Na Ni vp wapinzani wameturudisha nyuma kimaendeleo?
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,165
2,000
Hili taifa chini ya ccm limeshakwama!!!!Jk aliacha mkakati wa umeme wa gas!!!/akaja JPM akaacha na umeme wa gas !!! Akajenga bwawa kubwa kwa trillion of shilling limekaribia kwisha maji ya kulijaza hakuna !!! Aliambiwa akawa anatukana watu!!!!leo yametimia!!!
Atakuja Rais mwingne atakuja na umeme wa jua!! Baada ya miaka kum atakuja mwingine na umeme wa bio gas!!! Kwa kifupi tumekwama !!!
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,884
2,000
CCM ni ile ile siku zote. Magufuli ni CCM iliyochangamka hata ukiangalia matendo yake
1. Alifuta ajira za walimu na madaktari
2. Kulikuwa hakuna kufuata sheria hapa ndipo Sabaya na Makonda waliibuka. Ukimsifia Mwendake na kuuponda upinzani unapewa teuzi.
3. Watu wasiojulikana walikuwa wengi sana
4. Kufukuza kazi ilikuwa kawaida sana. Unaweza ukachelewa kwenye mkutano, ukafukuzwa kazi au kufungwa jela
5. Uchaguzi ulikuwa wa ovyo sana. Huyu bwana haliharibu uchaguzi kbsa.
Kipindi cha Magu umeme na maji uhakika ila amekufa imekuwa vyanzo vya maji.
Usitegemee jipya kwa CCM. Ni sawa na mwanamke uliyemfumania ukamsamehe mkarudiana. Siku ukimfumania tena usishangae
 
nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
633
1,000
Sasa kwanini kila raisi anayekuja anaachana na kipaumbele cha mwenzake?mi nafikiri kila raisi anaanzisha mifereji yake ya upigaji huku wananchi tuking'ong'wa ''Let them carry their own burdens''!
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
CCM ni ile ile siku zote. Magufuli ni CCM iliyochangamka hata ukiangalia matendo yake
1. Alifuta ajira za walimu na madaktari
2. Kulikuwa hakuna kufuata sheria hapa ndipo Sabaya na Makonda waliibuka. Ukimsifia Mwendake na kuuponda upinzani unapewa teuzi.
3. Watu wasiojulikana walikuwa wengi sana
4. Kufukuza kazi ilikuwa kawaida sana. Unaweza ukachelewa kwenye mkutano, ukafukuzwa kazi au kufungwa jela
5. Uchaguzi ulikuwa wa ovyo sana. Huyu bwana haliharibu uchaguzi kbsa.
Kipindi cha Magu umeme na maji uhakika ila amekufa imekuwa vyanzo vya maji.
Usitegemee jipya kwa CCM. Ni sawa na mwanamke uliyemfumania ukamsamehe mkarudiana. Siku ukimfumania tena usishangae

Hii nchi imechezewa sana 😁😁
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
1,113
2,000
Lile bwawa lilikuwa linatengenezewa mazingira ya kukubalika sana, nakumbuka viongozi wastaafu walipewa trip ya kwenda kule na kumwaga sifa za kutosha. Leo ukame umeumbua mradi, hata waliousifia wamekuwa wanafiki wanaanza kumrushia maneno mwendazake.
Kwa kweli duniani kuna mengi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom