Kwasababu Hajui Kitu na anajiona anajua kila kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwasababu Hajui Kitu na anajiona anajua kila kitu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Jul 19, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,275
  Trophy Points: 280
  Kama rais wako
  mwenyewe hajui kwa nini mpaka sasa
  Tanzania ni masikini licha ya kuzungukwa na
  rasilimali nyingi, je atawezaje kubadili
  rasilimali kama upepo, makaa ya mawe, jua
  n.k kuwa umeme?
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  acha uongo, inamaana hajui hata kuran?
   
 3. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Tumsamehe kwani hajui kama hajui.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  haweziii
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,938
  Trophy Points: 280
  Tulisha tahadharishwa kuwa kumchagua ni janga sie tukaona hizo ni porojo, sasa tunaucheza mziki wake kwa uchungu mkali. Tuwetuna tafakari tuambiwayo na sio kudhugika na taarabu za TOT na kanga na pilau.
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  huyu jamaa ni mtu wa ajabu, hana mshipa wa noma
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Anajua mambo haya tu:
  KUFUNGISHA HARUSI IKULU

  [​IMG]
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,311
  Trophy Points: 280
  Mh...siingii!

  Ni bora angekuwa wingu tu...
   
 9. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Handsome boy
   
 10. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndiyo maana ya 'urahisi', kutumia raslimali za nchi yako kwa uwezo zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi.
  Next time baba jk put on a black cassock, and enjoy
   
Loading...