Kwanza mnipe au mtupo pole wote tulicheza Jackport jana

sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
358
346
Nisipoteze muda twendeni GSB wameanzisha jackpot Mpya mechi ukula laki 5 Hakuna maelezo mengine kama zilivyo jackpots zinging jana nikacheza mikeka 2 yote imetiki naangalia balance ktk account Nikita tsh 560/= Kama bonasi nikawapigia simu wakawa awapokie.

Nikaona isiwe tabu asubuhi niaenda ofisini kwao fire pale naingia ndani nakuta watu wamejaa wakilalamika pesa wanayotakiwa kupewa akaja mfanyakazi mmoja kutoa ufafanuzi kua walioshinda ni wengi kwa kiasi kilichotowa kwa 500000 kimegaiwa kwa washindi wote kila mkeka atapatiwa tsh287/=hapo ndio ukatokea mzozo mkubwa muda huo watu wanakuja kutoka ktk mablachi yao ndani kukufurika.

Ikibidi shughuri zote zisimame wangine wakaenda polisi baada ya polisi hao kwa kuo polisi walivyo sikiliza wakashindwa kutoa maamuzi kwakua awajui sheria za michezo ya kubatisha polis wakatoa Shauri tuende ktk bodi ya michezo ya kubahatisha wakaondoka kama raia 100 hivi wengine wakabaki pale.

Walivyofika kule wakatoa maelezo ikabidi yule kiongozi akasema iandikwe barua ya malalamiko wao wataifanyia na kufutila haki iko wapi hapo ndio alipo waona wauni sio poa ikabidi atoe shauri warudi pale gsb yeye atakaja na viongozi wengene wajae kujua zaidi. Wahuni wakageuka kufika wanakuta watu wamezidi pale njee punde yule kiongozi akaja akaenda ofisini sijui waliongea nini akaja na sela tuchague viongozi tuandike majina yetu alafu wao watafutia nini tatizo akawatibua wahuni tena moto ukawaka ikabidi iongezwe difenda nyingine askari wakaambiwa hapa hakuna ugomvi pesa tu na huyuzee kaja kaenda huko ndani ajatuambia nini alichongea na hao viongozi wa gsb. Basi yule akaenda kurudi vilevile ajaongea alichoambiwa huko ndani hali ya hewa ikaanza kuchaka wajomba wakaa standby na wakaongezwa wajomba chap ikatolewa amri aisisogee mtu pale basi wahuni wakasema wanaenda kwa mkuu wa mkoa ilikua jioni hiyo.

Mie niakenda kwenye kufutilia mambo yangu ila update zitakuja hayo ndio yaliotekea ktk jackpot manana mkeka win Laknia ata pesa uliobetia wamepita nayo ngozi nyeupe wanajua kusaka peas
 
Kwani wao ni wajinga walipe watu wote 200M si mtaji utakuwa umeishia kwa watu

Apo ndo imeisha ivoo jaribu, tena utambiwa ndo sheria za jackpot kugawana dau lililo tangazwa
 
Kwani wao ni wajinga walipe watu wote 200M si mtaji utakuwa umeishia kwa watu

Apo ndo imeisha ivoo jaribu, tena utambiwa ndo sheria za jackpot kugawana dau lililo tangazwa
Mmh na miaka zaidi ya 2 GSB si bet na nilikuwa nakula shop, leo nimebet online na mkeka sure kuwin kama 1.4M nimeanza kuuombea mabaya mana sijui kama nitalipwa ety
 
Mmh na miaka zaidi ya 2 GSB si bet na nilikuwa nakula shop, leo nimebet online na mkeka sure kuwin kama 1.4M nimeanza kuuombea mabaya mana sijui kama nitalipwa ety
Kusema ukweli mie ni mdau wa kubeti online na awajawahi kuniangusha hapo miaka 2 nyuma pesa ilikua mpaka ukapange foleni sasa hivi unahamisha ktk simu tu bila shida ila jackpot hii muzieli kapiga pesa
Mnaweza unganisha jana nilishindwa tuma niliko umeme ulizinguaView attachment 1519228View attachment 1519229View attachment 1519230View attachment 1519231View attachment 1519232
 
Bongo kampuni ambazo hazina longolongo ni premier bet, meridian bet, bet pawa. Sportpesa hela wanayo ila ni kampuni ya kishamba sana, haina bonus kodi kubwa , waoga wa mechi, mechi hawaweki nyingi, Ice hockey na basketball hawaweki mechi zote, kiufupi hawajielewi wamewekeza kudhamini kwenye ligi kuu Tanzania kuliko kuangalia wanawapa kitu gani wateja wao wacheza kamali ili wawavutie kwenye kampuni yao. Marketing manager wa Sport pesa hajui kabisa biashara ya kamari inaendaje.

Huwezi kutoa bill 10 za kuzamini timu za Tanzania, ni bora utoe ofer kwa wateja wako sababu ni win win situation unampa offer mteja alafu unampora baadae. Watu wa kamari hawaangalii matangazo wao wanaangalia kampuni inatoa offer gani na inamnufaisha vipi.
 
Mmh na miaka zaidi ya 2 GSB si bet na nilikuwa nakula shop, leo nimebet online na mkeka sure kuwin kama 1.4M nimeanza kuuombea mabaya mana sijui kama nitalipwa ety
Mitaji midogo hizo beti unaweza ukalipwa au usilipwe ila jackpot ndo msala
 
Ndo ivo... Kwenye Jackpot au grand prize zawadi huwa ni moja. Wakisema zawadi ya gari itatolewa kwa mshindi, wakashinda watu mia mnagawanishwa!
 
Kampuni moja (jina kapuni) waliwahi kukosea odds wakaweka 17 kwa timu isiyo underdog, tukaiwekea mkeka na kupata mzigo mkubwa. Baada ya mechi kuisha wakaja kurekebisha odds na kutupunja, tukaenda Gaming Board, wakaitwa, tukayamaliza kwa mtindo wa win-win situation, sisi tuambulie na wao waokoe kidogo. Angalau niliambulia kuliko kukosa kabisa
 
Bongo kampuni ambazo hazina longolongo ni premier bet, meridian bet, bet pawa. Sportpesa hela wanayo ila ni kampuni ya kishamba sana, haina bonus kodi kubwa , waoga wa mechi, mechi hawaweki nyingi, Ice hockey na basketball hawaweki mechi zote, kiufupi hawajielewi wamewekeza kudhamini kwenye ligi kuu Tanzania kuliko kuangalia wanawapa kitu gani wateja wao wacheza kamali ili wawavutie kwenye kampuni yao. Marketing manager wa Sport pesa hajui kabisa biashara ya kamari inaendaje.

Huwezi kutoa bill 10 za kuzamini timu za Tanzania, ni bora utoe ofer kwa wateja wako sababu ni win win situation unampa offer mteja alafu unampora baadae. Watu wa kamari hawaangalii matangazo wao wanaangalia kampuni inatoa offer gani na inamnufaisha vipi.
Kama primer muoga Sana japo odds zeke zinalizisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom