kwann wanaopanda mlima kilimanjaro hawaruhusiwi kufika kilelen wakati wa mchana (jua likiwa linawaka)

Mimi nimekumbuka form four physics tulifundishwa kua yanaganda juu tu, chini ya barafu hua ni maji kabisa, hii ina maana kua ukitembea juu ya barafu kuna uwezekano mkubwa sana wa barafu kuvinjika, hii inaweza kusababisha madhara kwa watu, madhara kama vile kuvunjika, kuzama ndan ya maji n.k. So wakati wa usiku/alfajiri barafu huwa ngumu sana na ukilinganisha na mchana, hivyo si rahisi kupata madhara hayo, refers anamolous principal of water.
 
Back
Top Bottom