Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,751
Umefikiri nje ya box, safi sana
Umefikiri nje ya box, safi sana
Hiyo avatar kulikoniiii????
Mimi nimeitafsiri tofauti kidogo mniwie radhi kwa mawazo yangu haya
Mara nyingi watu HUFIKA KILELENI nyakati za usiku... Mchana huwa wanapigana vya fasta tu...
JamaniiiMimi nimeitafsiri tofauti kidogo mniwie radhi kwa mawazo yangu haya
Mara nyingi watu HUFIKA KILELENI nyakati za usiku... Mchana huwa wanapigana vya fasta tu...
Nengla ndangla ndani ya tumbo ee我也不知道,我还没爬过乞力马扎罗山。
我打算在十个月爬乞力马扎罗山,有很多客人从中国向来坦桑尼亚爬乞力马扎罗山。
Kufa na nini?Nimepanda Kilimanjaro 7 times! Labda iwe dharura sana mda wa kufika kileleni ni Midnight ~ na alfajiri! Hakuna mtu au namna waweza fika mchana ~ labda kama wataka kufa!