IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Uwa najiuliza sana kada zingine km waasibu,polisi,mwanajeshi wakiwa nyumbani nje ya kazi wanatambulika kwa majina yao...
Ila kwa walimu na madaktari nyumbani na ofisini wanaitwa hivo hivo ni kwann lakini?
Mbona hamsema shikamoo hakimu,mwasibu au polisi...?
BT kwa Dr au mwalimu wengi wanawasalimu kwa kazi au taaluma zao kwann lakni? Mnawakata stimu