Kwann walimu na madaktari ?wenyewe hawapendi

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Uwa najiuliza sana kada zingine km waasibu,polisi,mwanajeshi wakiwa nyumbani nje ya kazi wanatambulika kwa majina yao...
Ila kwa walimu na madaktari nyumbani na ofisini wanaitwa hivo hivo ni kwann lakini?
Mbona hamsema shikamoo hakimu,mwasibu au polisi...?
BT kwa Dr au mwalimu wengi wanawasalimu kwa kazi au taaluma zao kwann lakni? Mnawakata stimu
 
Huwa nikiwakumbuka walimu wangu wa mwanzo sijui kusoma mpaka hivi nilivyo nashindwa niwape pongezi zipi
Kabisa, kama ilivyo ngumu kuwalipa wazazi/Walezi wako waliokulea vyema fadhila ndivyo ilivyo kwa Waalimu waliokufundisha kwa wito.
Wakati mwingine ni Mung pekee ndio anaweza kuwalipa fadhila.
 
Kabisa, kama ilivyo ngumu kuwalipa wazazi/Walezi wako waliokulea vyema fadhila ndivyo ilivyo kwa Waalimu waliokufundisha kwa wito.
Wakati mwingine ni Mung pekee ndio anaweza kuwalipa fadhila.
Kwakweli ni Mungu, hatujui kusoma, kuongea, vizuri kuvaa jamani Mungu awakumbuke walimu wangu wa A E I O U
 
Hizo ndizo taaluma mama kwa jamii. Ndo maana 9/10 ya watoto wadogo wana dreams za kuwa MaDr. au waalimu. Mengine huja ukubwani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom