Kwann walimu na madaktari ?wenyewe hawapendi

uungwana classic

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
2,275
2,000
Kabisa, kama ilivyo ngumu kuwalipa wazazi/Walezi wako waliokulea vyema fadhila ndivyo ilivyo kwa Waalimu waliokufundisha kwa wito.
Wakati mwingine ni Mung pekee ndio anaweza kuwalipa fadhila.
Namna yakumlipa mzazi ni ww kuwa na furaha na mafanikio na kuwa mzazi mwema kwa wanao ili kile alichofanya kizuri kisije kufa na namna yakumlipa mwalimu ni mafanikio yako mkuu hamna kitu kinamfurahisha mwalimu kama kumuona mwanafunzi wake yupo nyaja za juu yaani utasikia kwa kujidai kabisa Rais Magufuli nimemfundisha mm na hapo anajisikia raha sana mkuu na pia kumtambua ni jambo nzuri sana kokote utakapokutana naye we ita tu mwalimu nawahi hiv nkirudi ntakutafuta kwake ni jambo kubwa hata usiporudi ukaendelea na mambo yako, ila sio walimu uchwara hizo ni kwa waalimu kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom