kwann wachaga wanapenda kuishi kimara.

wanajamvi nipeni majibu kwa nn wachaga,wapare na baadh ya makabila ya pande za kaskazini wanapenda sna kuishi maeneo ya kimara hadi mbez..

Na mimi najiuliza kila wakati kwa nini Wamakonde wengi wanaishi Mbagala!!
 
Na kwa nini waha wengi wanaishi tegeta?na wazaramo buguruni?wakurya kitunda?
 
Back
Top Bottom