Hafu ujue sikuhizi ma great thinker wamepungua JF, mwenyewe nikishaona comments mbili Tatu watu wamecomment hovyo, naskia uvivu.
ExactlyHafu ujue sikuhizi ma great thinker wamepungua JF, mwenyewe nikishaona comments mbili Tatu watu wamecomment hovyo, naskia uvivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine tumejiunga chama cha wasoma maoni.. pia kuna wengine hawana uwezo wa kutoa maon (hajajisajiri humu ndani)..Nimefuatilia thread nyingi sana unakuta 90k views ila 1k comments...nimejiuliza sipati majibu...ni kwann
Nyuzi nyingi za hovyo hovyo sana yani MMU kulikuwaga na topic nzuri kule sikuhizi kuna topic nyingi za hovyo, yani ambazo zinachochea vitu vya ajabu kwenye mahusiano, mi my favorite jukwaa langu ni jamii intelligence kule kuna watu wanajua mambo, sana IQ zao kubwa, Jamii intelligence idumu aiseeExactly
SMART BOY