Kwann views ni nyingi kuliko comments?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Nimefuatilia thread nyingi sana unakuta 90k views ila 1k comments...nimejiuliza sipati majibu...ni kwann
 
Huku ni tofauti na facebook, wakati kule Mtu anaandika tu, nice, good, p1, n.k hata kama hajasoma kilichondikwa...huku unasoma uzi, kama huna cha kuandika unasepa kimyakimya.
 
Nimefuatilia thread nyingi sana unakuta 90k views ila 1k comments...nimejiuliza sipati majibu...ni kwann
wengine tumejiunga chama cha wasoma maoni.. pia kuna wengine hawana uwezo wa kutoa maon (hajajisajiri humu ndani)..
 
Exactly

SMART BOY
Nyuzi nyingi za hovyo hovyo sana yani MMU kulikuwaga na topic nzuri kule sikuhizi kuna topic nyingi za hovyo, yani ambazo zinachochea vitu vya ajabu kwenye mahusiano, mi my favorite jukwaa langu ni jamii intelligence kule kuna watu wanajua mambo, sana IQ zao kubwa, Jamii intelligence idumu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sheria kuwa ukiview ni lazima u comment. Vingine unapita kimya kimya
 
[QUOTE="cariha, poskituo231919, member:28Kwakwenyingi za hovyo hovyo sana yani MMU kulikuwaga na topic nzuri kule sikuhizi kuna topic nyingi za hovyo, yani ambazo zinachochea vitu vya ajabu kwenye mahusiano, mi my favorite jukwaa langu ni jamii intelligence kule kuna watu wanajua mambo, sana IQ zao kubwa, Jamii intelligence idumu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]


Kweli jamii inteligence ni bonge la jukwaa Mimi huko ndo huwa kituo changu pendwa.

Kwakweli MMU kumejaa mada za hovyo hovyo tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom