assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Sasa hivi ukiwakuta chadema kwenye mikutano yao ni kuiponda ccm na mda kidogo ndo sera zinzunguzwa na ukienda mikutano ya ccm issue ni slaa,au shibuda au mbowe mkutano unaisha sera hamna naafikiri tubadilike nachukia staili hii ya siasa