kwann kushoto na kulia

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,757
2,000
tanzania dereva anaka left canada anaka right ,gar ya canada inaeza kutumika tanzania? kwann dereva wanaka tofaut
 

madmankache

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
836
1,000
me nafikiri ni kutokana na sheria za barabara za nchi,maana kuna nchi wanatumia upande wa kushoto kwa barabara/left;nchi hizi magari yake dereva hukaa kulia kwa gari. lakini nchi nyingine sheria zake za barabara zinataka vyombo vya usafiri kutumia upande wa kulia kwa barabara;kwa nchi hzi dereva hukaa kushoto kwa gari.nadhani ndivyo makampuni ya magari wanavyotengeza magari kutokana na sheria hz(mfano hata matumiz ya barabara za marekani na uingereza zinatofautina,na nchi nyingine zinafuata moja ya sheria za nchi hzi;mfano tanzania sheria zetu karibu zote ni za uingereza ndo mana hata matumizi ya road yanafanana na uingereza)
 

madmankache

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
836
1,000
zidhani kama gari toka canada inaweza tumika TZ nahisi itakuwa haipo ktk mstari wa sheria,na madereva hukaa tofauti(yani right or left)kutokana na sheria hzo za matumizi ya barabara.mfano TZ tunatumia upande wa kushoto na hzo round about znaitwa keep left,so hapo automatically passenger/abiria atasimama kushoto kwa barabara kusubiri gari ili apande(ukitaka kupanda daladala kwenda mahali fulani lazima ukae kituo cha daladala kilichopo upande wa kushoto kwa gari) imagine dereva akikaa upande huohuo abiria anapoingilia;itabidi derva ashuke ampishe abiria apite upande wa pili? au abiria asimame kusubiri gari upande wa kulia wa gari ambapo atalazimika avuke barabara? jibu ni hapana.
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,450
2,000
tanzania dereva anaka left canada anaka right ,gar ya canada inaeza kutumika tanzania? kwann dereva wanaka tofaut
Tz gari zinakaa kushoto (keep left) ya barabara na magari mengi dereva hukaa kulia (right hand drive), imerithiwa kutoka Uingereza. Marekani ya kaskazini ikiwamo Canada ni kinyume kwa vile walihamia huko kutoka Uingereza na walitaka kuachana na mambo yote yanayohusu Uingereza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom