Koala
Member
- Aug 28, 2011
- 97
- 107
Jamani,hii kitu nimekuwa naifuatilia sasa kwa zaidi ya mara ya tano sasa. Kila Mheshimiwa JPM anapokuwa anatoa hotuba hasa akiwa mikoani. Tanesco wamekuwa wanakata umeme kwa maeneo ya Dar,Je, nini sababu ya jambo hili?Je,kuna sbb za kiusalama katika hili? Mfano siku ya Muungano walikataka umeme mpk alipomaliza ndo wakarudisha,leo tena siku ya mei mosi alipoanza kuongea tu wamekata umeme,Je ttz ni nini?
Wenye kujua jambo hili mtujuze.
Wenye kujua jambo hili mtujuze.