Kwann Airbus na Boeing zilizonunuliwa na serikali zilitoka Canada?

Wilson Leguna

Senior Member
Feb 22, 2017
103
90
Wadau naomba kujuzwa, kampuni ya Airbus Aeronautics watengenezaji wa ndege za Airbus wako Ulaya Netherlands...kwanini Airbus yetu ilitoka Canada na sio Netherland?

Pia hata Boeing zitoka huko huko Canada wakati Boeing ni ya Us, ilitakiwa itoke Us, Bombardier ni sahihi kutoka Canada...au watawala walitumia kampuni ya Bombardier kama madalali wa kutuuzia ndege?
 
Airbus 220,ni bombardier(Canada) kabla ziliitwa CS,baada ya Airbus kanunua hisa kwa hii project,ndio wakabadirisha Jina na kuiita Airbus 220,Harafu Aibus wapo France Toulouse,lkn baadhi ya spea zinatoka Spain,Boieng ni US....
 
Wadau naomba kujuzwa, kampuni ya Airbus Aeronautics watengenezaji wa ndege za Airbus wako Ulaya Netherlands...kwanini Airbus yetu ilitoka Canada na sio Netherland?

Pia hata Boeing zitoka huko huko Canada wakati Boeing ni ya Us, ilitakiwa itoke Us, Bombardier ni sahihi kutoka Canada...au watawala walitumia kampuni ya Bombardier kama madalali wa kutuuzia ndege?
Thread ya siku nyingi ila ngoja nikujibu. Airbus walinunua bombardier. Ile Airbus iliotoka Canada ni bombardier c-series jet baada ya kununuliwa ndio inaitwa Airbus A220.
Boeing ilitoka USA
 
Back
Top Bottom