habri za wikiendi wa JF mimi nimekuwa niijiuliza kwanini mabasi ya UDA hayaandikwi majina ya njia yanapoanzia na kuishia ,nilchokina ni namba ya mabasi hayo kwa mbele ,hata rangi yote yamepakwa rangi nyekndu na njano tu
Yakiandikwa madereva na makonda wake watakonda...maana wenyewe huelekea sehemu yenye abiria wengi na
Kusipokuwa na foleni. Yakishusha abiria kituoni yanaangalia upepo wapi kwenye abiria wengi.... Na route huanzia hapo!
UDA wamepewa rout zote za jiji,hata hivyo kama wakipangiwa njia madereva watakufa njaa na pengine kushindwa kufanya kazi kabisa,hapa tu wanatakiwa wapeleke hesabu laki mbili kwa siku na hela ya mafuta isiyopungua laki na nusu pamoja na yakuosha gari'havyo kwa siku watafute hela isiyopungua laki 3 nusu ndipo watafute posho yao,na hesabu ikipungua hao viongozi wa UDA hawaelewi somo,na ndio sababu UDA ya leo wanapagawa kuliko daladala za kawaida,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.