kwaninin ,magari ya UDA haandikwi njia yaani rout


mbalila

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
799
Likes
26
Points
45
mbalila

mbalila

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
799 26 45
habri za wikiendi wa JF mimi nimekuwa niijiuliza kwanini mabasi ya UDA hayaandikwi majina ya njia yanapoanzia na kuishia ,nilchokina ni namba ya mabasi hayo kwa mbele ,hata rangi yote yamepakwa rangi nyekndu na njano tu 
fmlyimo

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
306
Likes
54
Points
45
fmlyimo

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
306 54 45
Hata mimi huwa najiuliza. Yaani wameshindwa hata kuweka kibao kwenye kioo cha mbele kama ilivyokuwa zamani. Sumatra wapo wapi?
 
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
0
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined Oct 2, 2013
122 6 0
Yakiandikwa madereva na makonda wake watakonda...maana wenyewe huelekea sehemu yenye abiria wengi na
Kusipokuwa na foleni. Yakishusha abiria kituoni yanaangalia upepo wapi kwenye abiria wengi.... Na route huanzia hapo!
 
S

Slow pancha

Senior Member
Joined
Mar 16, 2013
Messages
174
Likes
71
Points
45
Age
37
S

Slow pancha

Senior Member
Joined Mar 16, 2013
174 71 45
UDA wamepewa rout zote za jiji,hata hivyo kama wakipangiwa njia madereva watakufa njaa na pengine kushindwa kufanya kazi kabisa,hapa tu wanatakiwa wapeleke hesabu laki mbili kwa siku na hela ya mafuta isiyopungua laki na nusu pamoja na yakuosha gari'havyo kwa siku watafute hela isiyopungua laki 3 nusu ndipo watafute posho yao,na hesabu ikipungua hao viongozi wa UDA hawaelewi somo,na ndio sababu UDA ya leo wanapagawa kuliko daladala za kawaida,
 
kwemsangazi

kwemsangazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Messages
249
Likes
31
Points
45
kwemsangazi

kwemsangazi

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2013
249 31 45
Ninachofurahia mimi hawa jamaa wa UDA nao wanaonjaga joto ya jiwe ya traffic wetu.. kukamatwa kuko pale pale
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
9,293
Likes
11,325
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
9,293 11,325 280
Sababu mwenye hayo Mabasi ni Mkware,mpenda Dogo Dogo so yakipigwa mkorogo hata pata fursa ya kwenda route zenye Dogo Dogo wengi wazuri.
 

Forum statistics

Threads 1,251,863
Members 481,917
Posts 29,788,064