kingazi Member Jul 4, 2011 35 7 Sep 4, 2011 #1 kwanini watani zangu wachaga wakicheza ngoma zao hushikana mikono yote.
G_crisis JF-Expert Member Jun 19, 2011 723 244 Sep 4, 2011 #2 Ni utamaduni tu kama ilivyo kwa wakata mauno
Babkey JF-Expert Member Dec 10, 2010 4,834 3,655 Sep 4, 2011 #3 wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa.
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 Sep 4, 2011 #4 We kingazi! Bure kbs! Si ndio utamaduni wenu. Nawe umekosa cha ku2juza.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 4, 2011 #5 wanalinda mifuko mkuu ili asitokee mjanja zaidi
M mwl JF-Expert Member May 25, 2011 1,101 913 Sep 5, 2011 #6 Wanaogopa wasije wakatiana vidole ehhhh vya macho.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Sep 5, 2011 #7 Babkey said: wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa. Click to expand...

umeongea chalii yangu..
Babkey said: wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa. Click to expand...

umeongea chalii yangu..
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,043 10,692 Sep 5, 2011 #8 Ngoma yao huwa hainogi hata hivyo.Labda wajaribu taarabu.
Lady N JF-Expert Member Nov 1, 2009 1,914 131 Sep 5, 2011 #12 Mwendabure said: Hawa nao wana ngoma? Khaa..! Click to expand... ndio hiyo hiyo mkuu inaitwa "iringyi"
Mwendabure said: Hawa nao wana ngoma? Khaa..! Click to expand... ndio hiyo hiyo mkuu inaitwa "iringyi"
Terrire Member Jul 13, 2011 88 9 Sep 5, 2011 #13 Babkey said: wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa. Click to expand... Hilo ndio jibu! Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi.
Babkey said: wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa. Click to expand... Hilo ndio jibu! Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Sep 5, 2011 #14 Hapa kuna swali kweli?. We chalii vip!
Jamsuldash Member Jul 14, 2011 69 24 Sep 5, 2011 #15 Maayo said: Hawaaminiani hawa. Click to expand...

unacheza na Masawe halafu unamwachia mifuko wazi? Huh! lazma umshike mikono. . . .
Maayo said: Hawaaminiani hawa. Click to expand...

unacheza na Masawe halafu unamwachia mifuko wazi? Huh! lazma umshike mikono. . . .