Kwanini?

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
973
1,000
Leo nataka tujiulize vitu ambavyo huwa vinatupa shida sana tukiviwaza kwenye maisha yetu ya kila siku tukianza na neno "Kwanini"...Me naanza

- Kwanini vichaa tunaowafahamu hawajawahi kuombewa wakapona?

Mdau weka ya kwako.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Unazungumzia kichaa yupi tuanzie hapo kwanza, unazungumzia yule kichaa anayependa kusifiwa na kuua watu na kuombewa au kichaa mvuta bangi
 

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
973
1,000
Kwanini viongozi wengi Afrika hawataki kutoka madarakani baada ya muda wao kuisha?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom