mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,287
- 793
hodi wanajukwaa zitto cdm imekujenga sana kisiasa mpaka hapo ulipo sasa bila cdm watu wengi wasingekujua, mabadiliko unayoyatafta ungeweza kuyaleta pindi kuwa cdm na pia ungeweza kujiita mzalendo ndani ya cdm, inawezekanaje kuleta mabadiliko na uzalendo nje ya cdm wakati ulikuwa naibu katibu mkuu? ulishindwa nini kujenga hoja na ushawishi ndan ya vikao vya chama? wewe ni mjamaa je,ndani ya cdm ulikuwa nani? kwa ulewa wangu mdogo viiongoz waliowengi duniani waliweza kuleta mabadlko kupitia vyama vyao eg. jk nyerere, nm madiba, ym gaguta, mugabe na wengine wengi. kwa mtazamo wangu unasumbuliwa na uroho wamadaraka, ndan ya cdm ulikuwa unautka uenyekti nje ya cdm hautaki unataka uongoz mkuu mkuu wa chama, hii imekaaje? ina maana ndani chama chenu kuna wenyeviti wa wawili? na katiba yenu nasema hivyo? kama kipiengere hichi hakipo inabidi mkiongeze ndo nitakuuelewa,kwaulewa wang mdogo kokote duniani hakuna chama chenye viongoz wakuu wawili wala taasisi yoyote HAIPO! kisiasa sasa zitto umekwisha. Noya!
mlitak mabadilik msingemfukuza