Jibu ni Rais hawana sifa ya kuwa marais na pili njia wanazotumia kutaka kuupata huo urais hazikubaliki na watu wengi, Pia wanauchu wa madaraka uliopitiliza mipaka ya wezekana wanasukumwa na watu na si nia zao kugombea nafasi hio, angalia matuizi ya vyombo vya hbr mpaka unahisi wanalipa ili taarifa zao ziandikwe vizuri na Unafiki ni mwingi, Angalia ya zitto kila mtu anakanusha kwamba hakusema yaliyoandikwa kwenye magazeti, huu usanii unakera watanzania