Kwanini Zitto na Lipumba wanajitenga na suala la Katiba Mpya?

Movement ni ya CHADEMA, sasa kwanini munalazimisha na vyama vyengine vyote vishiriki? Tatizo kubwa la BAVICHA siku zote hujiona wao ndio wapo sawa na wengine wote wanatakiwa wakubaliane na wanachokiamini wao.
 
Nani aliyekwambia katiba ndo suruhisho ya matatizo Tanzania ? Tanzania ni moja ya nchi yenye katiba bora kabisa Africa tatizo lipo kwenye kutekeleza hyo katiba mnaweza kuwa na katiba mpya then viongozi hawataki kuitekeleza uoni kwamba utakuwa ni ujinga?

Mtanzania anataka maendeleo si katiba kwa maana katiba hii hii ndo imetupitisha ktk kipindi kigumu na tumekipita tena kwa amani kabisa na utulivu mnataka nn sasa??
Mungu akusamehe tu. Ingekuwa Bora serikali isingepoteza pesa na muda kuwalipa akina warioba na polepole
 
Mambo mangapi ambayo hayana faida ambayo serikali imeyafanya na kupoteza fedha nying za walipa kodi ?
 
..Prof.Lipumba huyu hapa anadai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

..Othman Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais wa Znz anayetokea ACT anadai Katiba mpya.

Chadema hawadai katika iliyotokana na tume ya Jaji Warioba,hawaeleweki wanataka nini
Habari za asubuhi Wakuu.

Mimi nina maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu vita inayoendelea ya Katiba Mpya.

Nimeshangaa sana kuona Zitto na Lipumba wamejitenga kabisa na hii Movement as if wao sio waathirika kabisa wa Katiba iliyopo.

Zitto amekuwa na hii Historia ya Undumilakuwili na usaliti kwenye harakati ila hata katika hili anakosa aibu kidogo hata ya kupaza sauti wenzie wasikamatwe?

Nimemsikia Mbatia kidoogo angalau na yeye aliongea kitu ila Zitto na Lipumba kimya.

Kama ndiyo aina ya Wanasiasa tulionao kweli tuna safari ndefu sana.
 
Umetoa Zitto pangoni, amejitokeza leo
 
Chadema hawapaswi kuhodhi mchakato was katiba peke yao.
 
Hii ni agenda ya chadema haimhusu Zitto. Pia tusisahau Zitto amelizungumzia hili kwa muda mrefu na hata mara moja hakuungwa mkono na viongozi wa chadema
 
Back
Top Bottom