Kwanini Zitto Kabwe hakufahamu kama CHADEMA ina mwenyewe?

Chadema hakuna demokrasia ccm kinachowauma ni nini???

Jaribu kufikirisha akili yako ya kuzaliwa,halafu unachokihisi utagundua kuwa ni kweli au uongo.Nashangaa sana watu wanapoongea ukweli mnawabebesha vyama na kuwaita wasaliti.Bahati nzuri wengine tumejengeka katika mfumo wa reasoning,sio kufyonza kila kitu kama dodoki.
 
Eti anajiandaa kuchukua dola. Hivi huyu Mbowe anafahamu hata maana ya dola?

Mbowe anajipanga kuchukua dola inayotumia wana usalama wa taifa zaidi ya 20 kupanga mbinu ya kumuua Dkt. Slaa!

Anyway, Wonders never cease!

Hivi unaelewa maana ya kushika dola!!tatizo ccm mnajifanya hata wana usalama ni wenu subirini chadema pale magogoni mtaufyata wenyewe kila jambo na muda wake,we unafikiri nchi zingine zilizofanya mabadiliko hao wanausalama hawakuwepo?
 
Hiki sio chama bali ni kitega uchumi cha MTEI na wanaukoo wake wote,nia yao ni kukamata Dola tu ili wajibinafsishe migodi yote na visima vote vya gesi,wananchi amkeni,angalia Mbowe alivyoongea,yeye anawaza kukamata Dola tu,sijasikia hata neno moja linalomgusa mtanzania,utleast hata angesema watanzania wana hali mbaya halafu mtu analeta usaliti?,ila yote aliyoongea ni ubinafsi tu.Watanzania amkeni hiki chama hakina nia ya kuwakomboa wananchi.

Dah!! Wanaccm mbona Zitto kawauma sana kuna nini hapa?mchukueni coz yuko bado kwenye ubora wake mnaoufahamu nyie.
 
Back
Top Bottom