Kwanini Zitto Hajatoa Tamko?

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,838
2,000
Waziri Mkuu alimuumbua Zitto kwa kumtaja jina kabisa bungeni kuwa alimsikia kwenye moja ya mikutano yake akiwadanganya wananchi kuwa yeye anapokea zaidi ya mil 25.

Zitto ninayemfahamu mara nyingi huwa anajibu tuhuma na hasa kupitia mitandao ya kijamii kukanusha tuhuma yeyote ambayo imejibiwa tofauti na yeye alivyoianzisha.

Ni zaidi ya siku 5 sasa tangu Mh Pinda amwita Zitto muongo bungeni na Zitto hajajibu chochote.

Je hii ni dalili Zitto hataki kunyea kambi labda mda wowote anaweza akaomba hifadhi?

Na vipi kuhusu vurugu zinazozidi kuirorotesha CDM? Je haoni busara kulaani vurugu hizo?
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Kuhusu kauli ya mishahara hapo yawezekana uko sahihi kabisa!!!!!
Hilo jingine naona anaogopa kusaliti na kuhaini tamko la nchi kutotawalika!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom