Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

Wewe unaejua ni vyema ukatuhabarisha kwa faida ya jukwaa
Naamini wewe ni mwanasheria ila unanishangaza sana unapokuwa unaandika kama mtu aliyesoma Political Science.

Kabla ya kuongea au kaundika fanya utafiti kwanza halafu uje na legal issues kwa kuonesha wapi sheria imevunjwa na legal implication yake ni nini.

Ahsante sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali nimesema kuna sheria imevunjwa? Hebu soma tena

Acha ujanja ujanja wa kimahakama ya kuhoji ndio au hapana.

Maudhui yako yanalenga kutuonesha sisi ambao hatujajua sheria vizuri kwamba zitto amefanya kosa flani kutumia nembo ya Bunge.

Sasa bwana Petro ukianza kukimbia kimbia badala ya kutoa ufafanuzi ni kama vile unaogopa kitu flani.

Mwanasheria huwezi kuandika:
Kwanini Zito alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

halafu ukasema eti hujasema kavunja sheria gani, sasa kwa nini ashughulikiwe na bunge? kama hakuvunja sheria au kanuni.
 
Reasoning yake bado ni changa sana.
 
Back
Top Bottom