mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Kwa jinsi nijuavyo mimi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania sasa sijui ni mkoa au wilaya mimi sijui.
Ila cha ajabu huku ni bei ya sukari iko chini kuliko bara.Bei ya rejareja ni 1,600 kwa kilo moja sasa najiuliza hii sukari huku inatoka wapi mpaka iuzwe bei hii?