Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Habari Za jumapili na heri ya sikukuu za eid. Niende moja kwa moja kwenye mada .
Takriban wiki mbili au tatu zimepita bila ya kupata taarifa ya idadi ya watu walioambukizwa korona katika visiwa vya Zanzibar . Sijui nini kimetokea ila Tanzania bara walipositisha kutoa taarifa wao walikuwa bado wanaebdelea na kutoa idad ya waathirika na hata kifikia hatua ya kununua vipimo vyao ambavyo watakuwa wanatumia kupimaa.ila ghafla hatusikii tena.
Sasa ni kipi kimetokea ?au na wao nashine zao zimepata hitilafuu? Naomba wajuzi watupe hasahasa tatizo ni lipii.
Sent using Jamii Forums mobile app