Kwanini Zanzibar hawana Zanzibar air?

Mkuu kwanza katika biashara ngumu zaidi duniani ni biashara ya usafiri wa ndege, ndio maana kati ya makampuni yanayozugumzia hasara zaidi duniani ni ya ndege na ukisema Zanzibar wangeachana na local travel na kujikitazaidi na international travel, nani apande ndege ya Zanzibar wakati anayaona makampuni makubwa ya ndege kama KLM, SWISS AIR, LUFTHANSA, EMIRATE, QADAR AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS nk yenye uhakika wa usalam

Watu hu prefer local airline wanapoenda kutembelea nchi husika..
 
Hapa umezungumza, bila strong local airline sahau utalii wako kukua. KLM na Emirate hawako hapa kuunga mkono mikakati yako ya kiuchumi bali mikakati ya nchi zao ya kiuchumi. Hawawezi hata siku moja kusumbuka kufikiria jinsi mtalii atavyounganishwa kwa haraka na nafuu kwenda Katavi, Ruaha, Serengeti, etc. Issue ni uelewa wa airline industry ambako lengo ni uwezeshaji wa biashara na sio lazima kupata faida ya moja kwa moja katika vitabu vya shirika. Kenya Airways sina hakika kama ilishapata faida toka iwepo mwaka 1977! Lakini hawawezi kuifuta hata siku moja maana ndio muhimili muhimu wa soko lao la utalii. Hata hivyo tusichanganye hasara itokanayo na uzembe na hasara ya mazingira ya kibiashara. Ukiangalia ATCL na kuweka siasa za ndani mbali utaona kuwa muhusika mkuu wa hasara iliyotajwa na CAG ni Serikali kwa kushindwa kufanyia kazi mambo yaliyo nje ya uwezo wa ATCL. Swala la madeni makubwa yaliyolithiwa na ukodishwaji wa ndege kutoka TGFA yamekuwapo kwa muda sasa na CAG amekuwa akiitaka Serikali kuhakikisha imeyafanyia kazi ili hesabu za ATCL ziwe na uhalisia. Pamoja na changamoto hizo, bado sidhani kama ATCL ingepata faida katika kipindi kifupi hivi ingawa hasara ingekuwa ndogo sana. Kama kutengeneza faida ingekuwa rahisi hivyo basi Precision angekuwa sio tu na madege ya kisasa bali pia na vitabu vya hesabu vyenye mabilioni ya faida na sio mabilioni ya hasara kama ilivyo sasa.
 
Ndo maana naamini Zanzibar wanahitaji shirika Lao la ndege kukuza utalii..
Wakianzisha Leo hata ndege mbili za kukodi Tu litawapa faida kubwa kiutalii..
 
Boss unapotoa issues bila kuweka siasa za CCM na CHADEMA huwa unavutia:D:D:D:D
 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewahi kununua ndege hasa kwa marais, ya kwanza ikinunuliwa mwaka 1982 na kuja kuuzwa mwaka 1993. Ilisajiliwa kwa no: 5H-SMZ.

Hivyo uwezo wa kununua ndege wanao, ila sio muhimu kwao.
 
Boss unapotoa issues bila kuweka siasa za CCM na CHADEMA huwa unavutia:D:D:D:D

Kwa mfano kwa mini hakuna Zanzibar Stock exchange..??Kama. Kuna nchi zina masoko ya hisa hadi mawili?..hili litawasaidia Sana kupata mitaji..
 
SMZ chini ya CCM ni utopolo, hakuna cha maana cha kutarajia.

Maalim Seif kwa awamu zote, katika kampeni zake moja ya sera zake ni kuanzisha shirika la ndege la Zanzibar AIrline na kama sikosei uchaguzi wa mwisho aliahidi kuanza na ndege tatu.
 
Back
Top Bottom