Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

young solicitor

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,126
2,000
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 toleo la 2019
Yenye vifungu vinavyonyima dhamana pamoja na
Sheria ya uhujumu uchumi
Sura ya 200 toleo la 2019
Zote hizo sio za muungano hivyo basi hazitumiki Zanzibar.
Zanzibar walishatoka huko kwenye ujima na kukomoana.
Our criminal justice on the side of Tanzania mainland need reforms.
Kuna li jitu lipo kisheri linaitwa DPP lina mmlaka makubwa mno yanayohitaji kudhibitiwa kisheria.
Lazima kuwe na ukomo wa upelelezi
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Hii ni biashara mpya isiyoasisiwa na jiwes and company ya kukusanyia pesa toka kwa wasiopigwa chapa.Kama unayo chapa hii Sheria hazikuhusu.
 

young solicitor

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,126
2,000
Zanzibar katiba yao ni tofauti na ya Tanganyika.

Kule kuna haki za Binadamu sio kama Sisi.
Ibara ya 12-29 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake
Inajumuisha haki za binadamu hivyo basi ni sawa kusema haki za binadamu na utekelezaji wake ni swala la muungano.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom