Bajet... Ela yenyewe ya mboga mwanaume anaacha buku, alafu anategemea akute maini? Lazima alishwe vichwa vya dagaa ili ajue kuwa anabidi kupanda dau...
Dagaa wakavu wa mwanza walikuwa wakiondolewa vichwa pamoja na kuwaosha kwa maji ya uvuguvugu ili kuondoa mchanga (walikuwa wanaanikwa mchangani baada ya kuvuliwa) ila kwa waliokuwa wanavuliwa sehemu nyinginezo huwa hawaondolewi vichwa kwa kuwa huwa hawana mchanga....
Hebu kuwa wazi kwa swali unaloliuliza maana mtu kama mimi siwezi kuelewa swali lako kwa uzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.