mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,829
- 3,118
Nafuatilia mitandao ya kijamii wasemaji ni walewale wa kila siku,ukienda twitter wanajulikana,ukija hapa jukwaani wanajulikana kwa user zao ,japo nafahamu wakileta uzi wa ku-attack mtu hutumia user zao zingine kuonyesha wako wengi,wakati si kweli,nimefanya uchunguzi na, nisemacho nina uhakika nacho ,unakuta mtu ana user kumi.
Na wengi ni wa hapa ndani ya jiji la daresalaam na baadhi wachache wa mikoani.
Kwanini waongeapo madukuduku yao ndio uwe msimamo wa watanzania millioni 55?
,inashangaza kikundi cha mitandaoni wakiwa na interest zao binafsi wanataka kufanya ni za watanzania wote nchini,nani kawapa mamlaka hayo?,
Nimezunguka mikoa mitatu kwa haraharaka raia wengi hawajui hata kama ndege yetu imekamatwa,wanashangaa tu,
Ni kweli mitandao ya kijamii ina nguvu, lakini wachache wanaoitumia ambao wanajulikana baadhi wakijiita wanaharakati (uchwara)ndio uwe msimamo wa watanzania wote?
Ninachofahamu kwa utafiti ,Watanzania wengi wako busy na shughuli za uzalishaji mali na biashara