Kwanini yai ukiliminya hivi halipasuki?

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Salaam wakuu,

Mayai ni rahisi mno kupasuka lakini ni kwanini ukiliminya kwa mtindo huu halipasuki?

images%20(3).jpg
 
Sio hivyo tuu hata ukiweka hivyo lingine likae juu na jingine likae chini (ncha zikutane)hilo la katikati linazunguka kama motor ya high speed H.P 30 3phase.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom