Kwanini wo wo wo na si sehemu nyingine, tujadili karibuni

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
685
443
Wakuu wanajamvi,wake kwa waume,wababa kwa wamama , lladies and gentlemen km mm,wachuma ulete na watafutaji
Habari ya kwenu!
Me niko poa.

Jion ya leo imenipendeza kuwashirikisha hili swala la kwann wo wo wo immekua sehem maarufu na pendwa zaidi ktk mwili wa mwanamke kuliko hata papuchi.
Nawaza hivi kwann isingekua
*macho au
*midomo
*miguu
*nywele
*masikio
*matiti(kifuan saa 6)

Ila wo wo wo aka kishundu aka mkia aka makalio aka wezede aka mlima kitonga imekua kivutio,hivi nn kilitokea kwny akili zako ww mwanaume mwenzangu unaesoma hapa mpaka ukapenda makalio na si vingine!!!!
Au labda ni wahenga ndo wametulisisha huu mchezo mchafu.
Au kwako wewe mdada kwann uongeze makalio na si pua ama kichwa
 
Mbn Sina Hilo wowowo lkn nikipita sehemu mji unasimama kwa butwaa acheni zenu nyie wahuni tu, na hao wenye mizigo ndo hawaolewi ng'o
 
Kwani ukiwa kitandani wowowo inakupa raha gani kwa wale wasio wapenzi wa 0713 sidhani kama kuna hoja hapa, wowowo ni kuangalia kwa macho tu ila kwenye mchezo hauongezi kitu wataalam waje waseme raha wanaoipata kwenye wowowo wakiwa bed kama hamna basi wasipoteze muda kuangalia
 
Mbn Sina Hilo wowowo lkn nikipita sehemu mji unasimama kwa butwaa acheni zenu nyie wahuni tu, na hao wenye mizigo ndo hawaolewi ng'o

:eek::eek:mji unasimama kwa butwaa? nahitaji nikuone kidogo kapeace ili niprove this!!
 
Kwani ukiwa kitandani wowowo inakupa raha gani kwa wale wasio wapenzi wa 0713 sidhani kama kuna hoja hapa, wowowo ni kuangalia kwa macho tu ila kwenye mchezo hauongezi kitu wataalam waje waseme raha wanaoipata kwenye wowowo wakiwa bed kama hamna basi wasipoteze muda kuangalia
Mkuu wewe umezoea missionary style tu?! Mbona kuna style kibao tu.
 
Kuna utafiti wa kisayansi wa Oxford ulioona kwamba wanawake wenye wowowo kubwa huzaa watoto wenye akili zaidi.

Inaendana na habari za wowowo kubwa kuwa na tundkali za mafuta zaidi ambazo zinasaidia kukua ubongo or something like that.

Kwahiyo tume evolve kuwatamani hao ili kupata watoto wenye akili zaidi.

Kwa habari zaidi soma hapa

Scientists Say That Women With Bigger Butts Give Birth To Smarter Kids
 
Wo wo wo sio dili. Mademu wembamba safi sana hawachoshi hata kidogo wapo flexible ile mbaya wanafit kila staili na kila size ya athumani kichwa chini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom