youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Wakuu wanajamvi,wake kwa waume,wababa kwa wamama , lladies and gentlemen km mm,wachuma ulete na watafutaji
Habari ya kwenu!
Me niko poa.
Jion ya leo imenipendeza kuwashirikisha hili swala la kwann wo wo wo immekua sehem maarufu na pendwa zaidi ktk mwili wa mwanamke kuliko hata papuchi.
Nawaza hivi kwann isingekua
*macho au
*midomo
*miguu
*nywele
*masikio
*matiti(kifuan saa 6)
Ila wo wo wo aka kishundu aka mkia aka makalio aka wezede aka mlima kitonga imekua kivutio,hivi nn kilitokea kwny akili zako ww mwanaume mwenzangu unaesoma hapa mpaka ukapenda makalio na si vingine!!!!
Au labda ni wahenga ndo wametulisisha huu mchezo mchafu.
Au kwako wewe mdada kwann uongeze makalio na si pua ama kichwa