Mrkingcamel
Member
- Jul 27, 2021
- 16
- 12
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo.
Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu sasa kuna kesi zaidi ya 12 za ubakaji wawatoto Karatu na asilimia kubwa wanaohusishwa ni madereva boda kwanini wao?
Hilo ni swali ambalo bado najiuliza naomba sana serekali iliangalie hili naamini kuna mambo ya kishirikina ndani yake kwani asilimia kubwa ya watu wa hapa wanaamini ushirikina kushinda mungu tuwe makini kwa hili.