Kwanini wazungu wengi ni wapweke

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,208
2,000
Hili nimeliona Mara kwa Mara katika mazingira tofauti na nyakati tofauti, hata nilivyoenda ulaya nilijionea kwa macho yangu na nikafikia hitimisho pasipo na shaka kwamba hawa watu ni wapweke sana.

Hawa watu hufikia kipindi cha kuwa na upweke kiasi kwamba hawana namna zaidi ya kupata kampani ya mfugo kama mbwa au paka majumbani mwao....hii hupelekea hadi kuwa na ratiba za kutembea na mbwa wao kila siku "dog walk"

Kuna documentary niliwahi kuicheki hata hawa wazungu magenius walikiri wazi kabisa maisha yao yalikuwa ya upweke wa hali ya juu sana....waliocheki movie ya "gifted" wamenipata hapa

Kuna kazi zao zinazowalazimu wawe wapweke, kazi hizi zinahusisha sana sana computer, kazi kama "coding" na "hacking" mtu akipenda hizi kazi kila muda atakuwa na PC, ni kazi ambazo hata kwa huko ulaya zinaaminika kufanya mtu awe anti social maana kila muda anakuwa na PC na yeye anachojua ni computer tu maana anashinda nayo kila mda anavyoamka hadi anavyolala,hawa wengi huangukia kundi la "geeks" au "nerds" kundi lenye asilimia kubwa ya watu wasio na skills za Jamii...... Na hii umeanza hata Tanzania kuna jamaa mmoja yupo kama hawa huyu jamaa hatakagi hata wageni kwasababu ya hizi kazi kitu kilichopelekea kuwa mpweke

Ni wapweke wa nafsi na roho kiasi cha kuwa na huduma za kiholela kama kulipia huduma ya mpambe kwenye harusi(hapa mtu ina maana hana watu wa karibu walio tayari kuwa wapambe)

Si ajabu kwenye msiba wa mzungu kukuta wanapenda msibani kwake kuwepo mtu mmoja tu anaemjua huku wengine wakiwa ni team ya kuhudumia maombolezo na wachungaji.

Hata kwenye movies nyingi tu tunaonaga wazungu inafikia kipindi unaona mzungu hana mtu wa karibu.

Hata hawa wanaokujaga Serengeti kutalii ni kawaida sana kukuta mzungu kaja peke yake kutalii na mda mwingi unakuwa anasoma kitabu huku sisi tunapiga stories

Wanaijeria wanatumia mwanya huu wa upweke kuwatapeli wazungu, wanajenga kaurafiki ka kinafki huko kwenye social netwaorks then watapiga saundi za kitoto mzungu hivihivi anampa mnaijeria pesa nyingi na kutapeliwa....wazungu wengi ni wapweke jamani

Nilivyoenda huko ulaya kuna simu ya mzungu flani nilifanikiwa ukicheki vitu vichache na kilo chini swanga za jamaa ana chat na mtu mmoja tu kwenye WhatsApp yake na hata kwenye mesej...nilistuka

Wao nachoweza kusema wazungu walibarikiwa akili sana kutuzidi hata waafrika ila linapokuja jambo la kujichanganya na watu ni sifuri kwakweli
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,454
2,000
Ndo maisha halisi ya wazungu, ukiwaingia ukiwa mbongo ukadhani utaexperience maisha kama hapo tandale unajidanganya
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
9,959
2,000
Mimi ulaya sijawahi kwenda Ila mechi naangalia, kila Mzungu ninaemuona uwanjani namuona ana furaha tu labda hadi matokeo yakiwa tofauti
 
Diason David

Verified Member
Aug 2, 2018
7,567
1,995
Hili nimeliona Mara kwa Mara katika mazingira tofauti na nyakati tofauti, hata nilivyoenda ulaya nilijionea kwa macho yangu na nikafikia hitimisho pasipo na shaka kwamba hawa watu ni wapweke sana.

Hawa watu hufikia kipindi cha kuwa na upweke kiasi kwamba hawana namna zaidi ya kupata kampani ya mfugo kama mbwa au paka majumbani mwao....hii hupelekea hadi kuwa na ratiba za kutembea na mbwa wao kila siku "dog walk"

Kuna documentary niliwahi kuicheki hata hawa wazungu magenius walikiri wazi kabisa maisha yao yalikuwa ya upweke wa hali ya juu sana....waliocheki movie ya "gifted" wamenipata hapa

Kuna kazi zao zinazowalazimu wawe wapweke, kazi hizi zinahusisha sana sana computer, kazi kama "coding" na "hacking" mtu akipenda hizi kazi kila muda atakuwa na PC, ni kazi ambazo hata kwa huko ulaya zinaaminika kufanya mtu awe anti social maana kila muda anakuwa na PC na yeye anachojua ni computer tu maana anashinda nayo kila mda anavyoamka hadi anavyolala,hawa wengi huangukia kundi la "geeks" au "nerds" kundi lenye asilimia kubwa ya watu wasio na skills za Jamii...... Na hii umeanza hata Tanzania kuna jamaa mmoja yupo kama hawa huyu jamaa hatakagi hata wageni kwasababu ya hizi kazi kitu kilichopelekea kuwa mpweke

Ni wapweke wa nafsi na roho kiasi cha kuwa na huduma za kiholela kama kulipia huduma ya mpambe kwenye harusi(hapa mtu ina maana hana watu wa karibu walio tayari kuwa wapambe)

Si ajabu kwenye msiba wa mzungu kukuta wanapenda msibani kwake kuwepo mtu mmoja tu anaemjua huku wengine wakiwa ni team ya kuhudumia maombolezo na wachungaji.

Hata kwenye movies nyingi tu tunaonaga wazungu inafikia kipindi unaona mzungu hana mtu wa karibu.

Hata hawa wanaokujaga Serengeti kutalii ni kawaida sana kukuta mzungu kaja peke yake kutalii na mda mwingi unakuwa anasoma kitabu huku sisi tunapiga stories

Wanaijeria wanatumia mwanya huu wa upweke kuwatapeli wazungu, wanajenga kaurafiki ka kinafki huko kwenye social netwaorks then watapiga saundi za kitoto mzungu hivihivi anampa mnaijeria pesa nyingi na kutapeliwa....wazungu wengi ni wapweke jamani

Nilivyoenda huko ulaya kuna simu ya mzungu flani nilifanikiwa ukicheki vitu vichache na kilo chini swanga za jamaa ana chat na mtu mmoja tu kwenye WhatsApp yake na hata kwenye mesej...nilistuka

Wao nachoweza kusema wazungu walibarikiwa akili sana kutuzidi hata waafrika ila linapokuja jambo la kujichanganya na watu ni sifuri kwakweli
Mkuu kwani huo pweke una athali kwako hata mimi niko mbioni kuapply hii kitu kwanza unaepukana na mambo ya ovyo ovyo kama siasa mapenzi na marafiki wasioleweka sawa
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,653

Kila mtu anajali sana kazi kuliko mapenzi, mtoto akikua anafundishwa kujitegemea. Wajapani wanajali sana kazi kiasi idadi ya vijana ni ndogo kuliko wazee na hao wazee hawana muda wa kula wala likizo, sisi tunahimizwa kuzaana badala ya kufanya kazi.
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
1,568
2,000
Hata wao wanaona tuna shida sana kuwa na extended family kucheka cheka hovyo kinafiki. kugombana hovyo, kujiongezea maadui kupitia marafiki, kurogana hovyo sababu km mtu hakujui hawezi loga.
Walivo wa ajabu ukimkaribisha kwa marafiki zako atakwambia wabaya wako wote ktk kundi lako.
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,617
2,000
Hawapendi undugu/extended family
Ama ubize na maisha ya huko yanawafanya wawe hivyo
Heri mtu akae na mbwa kuliko ndugu

Wkt africa tunapenda kukaa na ndugu zetu
Inasaidia kuwa na watu around you ukichanganya na ratiba zako binafsi u cant be lonely

Bt still keep in mind; loneliness is a state of mind
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom