Kwanini wazungu wanaamini kuwa watu weusi wana joto kali na ni watamu kitandani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,789
Nimeongea na wanawake na wanaume wa kizungu wameniambia watu weusi ni watamu sana kitandani na pia ni wa moto sana.
Jamani.... What is a mechanism behind?

Mke wangu ni mzungu. Nilishakuwa na wamatumbi wenzangu kabla yake, mi naona wako kama wamatumbi tu.

Nimeongea na wanawake na wanaume wa kizungu wameniambia watu weusi ni watamu sana kitandani na pia ni wa moto sana.

Jamani.... What is a mechanism behind?

Hiyo hypothesis ume-generate mwenyewe. Unaonaje ukiwauliza wazungu wenyewe halafu uje na conclusion hapa jamvini?

4465890124_c79c506f5f.jpg

ngoja nikafanye uchungunzi

ntakuletea jibu...

vipi kuhusu wewe wa baridi au moto??

Kutokana na medical science binadamu wote ambao hawana homa joto lao ni the same tena ni contant, tofauti na reptiles kama mjusi, nyoka, n.k. ambavyo joto hufanana na temperature of the surroundings, got an idea?

JF kuna wajuzi wa mambo ya 6 kwa sita kuliko mengine yote hasa Marijali Hongereni sanaaaa, manake wanalishambulia juukwaa vilivyo kwenye mambo ya kiutuuzima......ebu mie nisije nikaota.

May be blacks people are in hot climate so that there body temperature is little higher compared to those in cold areas

Back
Top Bottom