Kwanini wazungu walileta ugali Afrika kwetu, Je ili kutupumbaza?

Mtuma post akili yako ni sawa inafanana na yule aliyesema bila wazungu tusingekuwa tunaujua mlima Kilimanjaro na Ziwa Nyanza ( Victory ). Kama walileta ugali, inakuwaje wao hawaujui na wanakuja kuuonea Afrika na pengine Afrikaans mashariki??!!
 
Ndiyo Ugali uliletwa na Mzungu hapa kwetu nasema hivi kabla haujaanza kupaniki na kutukana, sasa ni kwa nini Mzungu alifanya hivi?

Ikumbukwe kwamba Dunia nzima hakuna jamii inayokula chakula kisicho na maana na faida mwilini kama Ugali, ni sisi tu na kabla ya kuja Mzungu Afrika kwetu kulikuwa hakuna Ugali huu, sasa ni kwa nini Mzungu aliuleta?
Kwani sehemu ambazo hazijatawaliwa na Wazungu kama Ethiopia hawali Ugali bali chakula kikuu kinaitwa injela ambacho kina virutubisho vya kutosha na siyo kama Ugali!

Nasema Mzungu alileta Ugali kwa maana Ugali unaliwa na sisi tu Waafrika weusi na ni kule tu ambako Mzungu alitawala na kwa kuwa kabla ya Mzungu kuja huu Ugali tunaokula leo haukuwepo hivyo nina kila sababu kuamini kwamba aliuleta kwa makusudi fulani na kutufanya tuule!

Sasa kurudi kwenye swali langu ni kwanini Mzungu alileta Ugali kwa Mtu mweusi?
Je, alikuwa na makusudi ya kutumbaza na kutufanya tusiwe na akili? Izingatiwe kwamba ili Ubongo wa mtoto uweze kukuwa na kustawi vizuri lishe ni kitu muhimu sana, na mtoto anahitaji kula vyakula vyenye Protini kwa wingi, ndiyo maana nchi zote zilizoendelea kwa mfano Shuleni watoto wote walikuwa ni lazima kila siku wapate Glasi ya Maziwa, lkn kwetu Mzungu akaleta Ugali!

Kumbuka kwamba hata Panya hali Ugali tunaokula anaukwepa kwa maana anafahamu kwamba hauna kitu, Panya akichukuwa Hindi hula kiini cha njano tu na kuacha sehemu nyeupe ya Hindi ambayo sisi ndiyo huisaga na kuifanya chakula!

Mahindi ya kukobolewa maana yake kile kiini cha Mahindi ambacho kina virutubisho huondolewa na Mashine, na ni nani alitengeneza hii Mashine ya kukoboa Mahindi ambayo huondoa kiini? Ni Mzungu, sasa kwa nini?

Kumbuka kwamba Mwafrika anataka kupigana Vita kwa ajili ya Ugali huko Kenya kulikuwa na maandamano kwa kukosa Ugali, wanataka kufanya Mapinduzi kwa kukosa Ugali tu ambao ni takataka tu, kwani hauna kirutubisho chochote kile mwilini, angalau hata tungeweka mafuta au chumvi, hata hivyo pia hakuna ni maji na unga tu, sasa kwanini tunakula chakula kisichokuwa na kitu?

Wakenya (pichani) wakiandanama kung'ang'ania kula Ugali!

DNFOODDEMO0707CFsz.jpg

Ugali, hamna kitu humo, hakuna kirutubisho chochote humo hata chumvi tu hamna, ni sawa na kula Pumba tu!
Ugali.jpg

Hii ni athari ya kula sembe au kiwelege(ugali unatokana na unga wa mahindi yaliyokobolewa, yakaoshwa, yakalowekwa siku 2-3 kabla ya kanikwa na kusagwa)
Ugali huu wa mahindi hauna virutubisho kabisa.

Inaonyesha kwako ugali hutokana na mahindi tu na lazima yakobolewe.
Mi nakula dona lililochanganywa na mtama au ngano.

Hao wazungu mbona wengi wao hata kula ugali hawajui?
Je, tunaweza yakuta madhara ya ugali kwa waanzilishi wa ugali huu?
 
Halafu?Umekuwa na akili nyingi?Tupe mfano mmoja teh teh teh....Lakini inaonekana una bonge la "ndambi" maana dona nyama mara mbili kwa siku mara mwezi bila mazoezi lazima ndambi litoke
 
Mkuu acha uongo asee karne ya 15,,,,,,,miaka ya 1498's pind wareno wanafika hapa east Africa ndio walileta""" hcho chakula .........lkn
Kwao ilkua kama chakula cha akiba tuu........wala hakukua na mtu mweny wazo la protein Yake!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahindi ambayo hayajaondolewa kiini chake cha njano, yaani kama tungekuwa tunakula Mahindi bila ya kukobolewa hapo sawa, lkn Mzungu alitengeneza Mashine ambayo inaondoa kiini ambacho ndicho muhimu, sasa ni kwa nini?
Kwani alilazimisha kutoa kiini? Sisi tuliokua miaka ya hamsini na sixteen kulikuwa hakuna mashine. Tulitwanga mahindi, mtama, mhogo kwenye kinu je tulikuwa wenye akili kuliko sasa? Tafuta Data za kusini mwa sahara ambapo kuna mtu alifanya utafiti wa hesabu, anga au magonjwa na kuandika. Sisi watu wa chini ya jangwa la Sahara hatukuweza kuwa na maandishi zaidi ya mapokeo na michoro hivyo hatuna kumbukumbu nyingi kuhusu historia yetu.

Kuhusu vyakula Mreno ndiye aliyeleta mahindi na siyo alitaka walime ila alikuwa anapita na akaacha mbegu ambazo wenyeji wa pwani walipanda, zikaota na zikasambaa bara wakati wa utumwa. Tulaumu waarabu na watu wa pwani waliosambaza utumwa bara siyo wazungu maana mreno hakuwahi kuja bara.

Mbona mtoa mada haongelei kuhusu mpunga je huwa haukobolewi? Kiini kinakuwa wapi kama siyo kwenye ngozi je wahindi, wachina, na watu wote wa Asia mbona wana akili kutuzidi ni kwa nini wakati wanakula mchele uliokobolewa? Fanya utafiti wako vizuri na ujue watu kama Rumanyika, Malealle na watemi wengine walikuwa na akili nyingi ( according to explorer like Speek and the rest). Vyakula kama ndizi, viazi vina potassium na magnesium ambavyo ni virutubisho vya ubongo zaidi. Kuna kahawa ambazo ambazo zilikuwepo kabla ya wageni zile za Robusta ila Arabica zililetwa na wajerumani. Kahawa inafanya watu wawe na uwezo wa kuwa macho hasa wazee.
 
Angalia familia zote waliokula ugiali wae wazungu au waswahili hawana nguvu za kutosha

Chakula chenye uwezo.mkubwa wa kutia nguvu nyingi mwilini Ni ugali Vingine mtu anakuwa legelege sana
 
Hii kitu ipo deep sana

Kinachoogofya ni pale watu wanapokuwa proud kwa kula UGALI utasikia mtu anajisifu kwamba mzungu hana ugali, mara tena utasikia Ugali una nguvu lakin kiuhalisia ugali una kiwango kidogo cha protini ukilinganisha na ngano ambayo ni chakula asili cha wazungu tofauti hii inapelekea wazungu kuwa na maumbo makubwa ukilinganisha na sisi

Waafrika wa west africa wana maumbo makubwa sababu ya ngano pia
 
Nimeona aibu sana kwa thread hii,naomba kejeli na masimango vyote vielekezwe kwangu,dhambi zake zote nitazibeba mimi,kwa kupigwa kwangu,mleta mada amepona,Tuwasamehe wale wote wanaotukosea. Amina
 
Ndiyo Ugali uliletwa na Mzungu hapa kwetu nasema hivi kabla haujaanza kupaniki na kutukana, sasa ni kwa nini Mzungu alifanya hivi?

Ikumbukwe kwamba Dunia nzima hakuna jamii inayokula chakula kisicho na maana na faida mwilini kama Ugali, ni sisi tu na kabla ya kuja Mzungu Afrika kwetu kulikuwa hakuna Ugali huu, sasa ni kwa nini Mzungu aliuleta?
Kwani sehemu ambazo hazijatawaliwa na Wazungu kama Ethiopia hawali Ugali bali chakula kikuu kinaitwa injela ambacho kina virutubisho vya kutosha na siyo kama Ugali!

Nasema Mzungu alileta Ugali kwa maana Ugali unaliwa na sisi tu Waafrika weusi na ni kule tu ambako Mzungu alitawala na kwa kuwa kabla ya Mzungu kuja huu Ugali tunaokula leo haukuwepo hivyo nina kila sababu kuamini kwamba aliuleta kwa makusudi fulani na kutufanya tuule!

Sasa kurudi kwenye swali langu ni kwanini Mzungu alileta Ugali kwa Mtu mweusi?
Je, alikuwa na makusudi ya kutumbaza na kutufanya tusiwe na akili? Izingatiwe kwamba ili Ubongo wa mtoto uweze kukuwa na kustawi vizuri lishe ni kitu muhimu sana, na mtoto anahitaji kula vyakula vyenye Protini kwa wingi, ndiyo maana nchi zote zilizoendelea kwa mfano Shuleni watoto wote walikuwa ni lazima kila siku wapate Glasi ya Maziwa, lkn kwetu Mzungu akaleta Ugali!

Kumbuka kwamba hata Panya hali Ugali tunaokula anaukwepa kwa maana anafahamu kwamba hauna kitu, Panya akichukuwa Hindi hula kiini cha njano tu na kuacha sehemu nyeupe ya Hindi ambayo sisi ndiyo huisaga na kuifanya chakula!

Mahindi ya kukobolewa maana yake kile kiini cha Mahindi ambacho kina virutubisho huondolewa na Mashine, na ni nani alitengeneza hii Mashine ya kukoboa Mahindi ambayo huondoa kiini? Ni Mzungu, sasa kwa nini?

Kumbuka kwamba Mwafrika anataka kupigana Vita kwa ajili ya Ugali huko Kenya kulikuwa na maandamano kwa kukosa Ugali, wanataka kufanya Mapinduzi kwa kukosa Ugali tu ambao ni takataka tu, kwani hauna kirutubisho chochote kile mwilini, angalau hata tungeweka mafuta au chumvi, hata hivyo pia hakuna ni maji na unga tu, sasa kwanini tunakula chakula kisichokuwa na kitu?

Wakenya (pichani) wakiandanama kung'ang'ania kula Ugali!

DNFOODDEMO0707CFsz.jpg

Ugali, hamna kitu humo, hakuna kirutubisho chochote humo hata chumvi tu hamna, ni sawa na kula Pumba tu!
Ugali.jpg
Neno dona ni neno lililo tambulika kwa miaka kadhaa na mpaka sasa

Lakini sasa:-

Donor ni chimbuko la neno dona(ugali usio kobolewa)

Hii ni baada ya umaskini na njaa kali kwa kipindi cha nyuma I mean 1950 .... na nchi wanachama walipoamua kutupatia msaada wa mahindi na kuuita 'dona'

Elimu tu!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naungana na mleta uzi, ugali hauna issue kabisa, its a wastage of time and resources. Ukijua nutrition breakdown ya ugali hautaula unajaza tumbo tu kuzuia njaa. Tangu nimepata akili na uwezo wangu ugali haupo kwenye sehemu ya menu yangu. Ugali sinia moja ni sawa sawa na robo chapati (nutrition wise) so why wasting time eating it?
 
Hiyo Cabohydtrates inatokea wapi kwenye Ugali wakati kile kiini cha njano kinaondolewa na kutupwa? Na kwa kwanini Panya anakula kiini tu ambacho sisi tunatupa, kuacha sehemu nyeupe ambyo sisi ndiyo tunakula?
inavyoonekana wewe hujui chochote kabisaaa kuhusu ulichoandika. Kama wewe umekukia kwenye na umekariri huo ndio ugali basi ndio maana hata ubongo wako umeathirika. Ugali uliopikwa kwa unga usiokobolewa una manufaa makubwa mwilini,pia kuna ugali wa mtama,mawele n.k. hiyo ya waethiopia kutokula ugali ni kutokana na mazingira na utamaduni wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom