Kwanini Wazungu ni wajanja na wabunifu sana?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,785
Siku niliyofika Shinyanga kwa mara ya kwanza jambo lililonistaajabisha labda kuliko yote ni uwingi wa Baiskeli, sijawahi kuona ktk maisha yangu sehemu yenye Baiskeli nyingi kama Shinyanga, lkn nilioona tu kushangaaa na kuendelea na safari kama tufanyavywo Watz wengine lkn Mzungu alipoona uwingi wa Baiskeli Shinyanga akaona aanzishe kinachoweza kutumia uwingi wa Baiskeli zilizopo kwa faidia ya wote, Acasia (Kampuni ya kuchimba dhahabu) wameanzisha mashindanao ya Baiskeli huko Shinyanga!

Je, kuna cha kujifunza hapo kutoka kwa Wazungu? Kwa maana hizo Baiskeli zipo siku zote na hataujawahi kulifikiria hilo!

* Kama kuna anayejua kwamba hilo wazo ni la Mtanzania mweusi kama mimi niko tayari kusahihishwa!
IMG_3414.JPG



IMG_4051.JPG




IMG_4070.JPG


Picha zote kwa hisani ya blogu ya Michuzi!
 
Mashindano ya Baisikeli yalikuwepo kanda ya ziwa tangu 1960~70 !!
Mashindano yalikuwa mara mbili kila mwaka.... Mwanza, Musoma, Shy na BK !!
 
Meku acha kuzunguka mbuyu unaanzishaje mashindano alafu una ela?

Umaskini ni laana meku.
 
Mashindano ya baiskeli yapo siku nyingi mm ni mzawa wa huko malanyingi hufanyika kiangazi tu
 
Asante kwa maelezo mazuri sikulijua hili, kwani nimeanza kuyasikia hivi karibuni!
Mkuu yalikuwepo hadi ngazi za kiMataifa... yaani mwashindi walituwakilisha nje mara kadhaa... baada ya kuondoka mBritish tukafika wenyewe !! wenye kujua kuhujumu na kukatiza, kuvunja moyo na kuharibu Changamoto za USHINDANI...si kibiashara au kiulkulima bali ni ufujaji... na uhuni wa wanasiasa wasiyo na maono !!!
 
Mashindano ya baiskeli yalikuwepo sema acasia wanayafanya kwa ajili ya matangazo wakati sisi tuliyafanya kama burudani
 
Back
Top Bottom