Kwanini waziri wa mambo ya ndani asiwe mtu aliyebobea katika "IT security system"Kama nchi zingine

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,199
3,592
Katika pitapita zangu baadhi ya nchi kutokana na ukuaji wa technologia na maswala ya mitandao nchi nyingi wanapofanya uteuzi wa

"WAZIRI WA MAMBO YA NDANI" huteuliwa mtu ambae amesomea na amebobea maswala ya IT Security system kama cyber security, network security, physical security , terrorism hivyo mtu kama huyu ukimpa hii wizara anajua na anafahamu jinsi gani ya kupambana na uhalifu kwa mfano issue kama hii ya kibiti angekuwa amei solve

Mimi kwa maoni yangu ningependekeza magufuli amteue mtu aliye na mafunzo ya IT huyu tulinaye mwigulu angepelekwa au kutafutiwa kazi nyingine .
 
Unaposema kama nchi zingine jaribu kutupatia hata mfano wa nchi kama tatu hivi ili tusaidie kuchangia kuliko hii mada yako ilivyoiweka.
 
Mfano mzuri ni Ethiopia
UK wameendelea sana katika masuala hayo kuliko Ethiopia, kuanzia mwaka 2001 mpaka sasa hakuna hata mmoja mwenye sifa hizo ulizozitaja ameshika office hiyo. Sasa kama unadhani Waziri ni mtendaji basi unajidanganya. Katika kila Wizara Katibu mkuu ndiye anatakiwa kuwa mbobezi katika fani hiyo maana ni mtumishi wa serikali, Waziri ni mbunge tu anaweza kuwa mchumi ama Banker kama Theresa May Prime Minister wa UK amekua waziri katika wizara ya mambo ya ndani na uhamiaji wakati yeye kasomea Geografia.
 
Sio kazi ya waziri kutafta wahalifu. Ni kati ya machineries zilizo nyuma ya waziri kutafta wahalifu.

Waziri anatakiwa kua tu na taaluma yoyote lakini walio kwenye idara za wizara yake ndio wanatakiwa kuwa wabobezi kwenye hayo mambo.

Sio kazi ya waziri kwenda kuanza kutafta kuhack mifuno ya mawasiliano ya wanaodhanowa kua watenda mabaya, ni kazi ya walio chini yake haya law enforcement organs kama DPP, Idara ya sheria, Upelelezi na wengineo ndani ya jeshi la polisi.
 
Mkuu ivi unamfahamu WAZIRI wa mambo ya NDANI wa UK ,
Kama ulikuwa hujui google CV yake
 
Mfano mzuri ni Ethiopia
Hili swali nilikutega sana na nimegundua umefail kulijibu. Mawaziri ni wanasiasa na siyo watendaji kazi kajifunze kwanza hilo na utafakari halafu uje na mawazo mengine. Kama Rais atataka kupata watendaji wenye fani za wizara basi itakua vigumu sana. Halafu usidhani Waziri anapojibu yale maswali bungeni anakua ameyatarisha yeye mwenyewe anapewa na wataalamu elewa hili.
 
Sio kazi ya waziri kutafta wahalifu. Ni kati ya machineries zilizo nyuma ya waziri kutafta wahalifu.

Waziri anatakiwa kua tu na taaluma yoyote lakini walio kwenye idara za wizara yake ndio wanatakiwa kuwa wabobezi kwenye hayo mambo.

Sio kazi ya waziri kwenda kuanza kutafta kuhack mifuno ya mawasiliano ya wanaodhanowa kua watenda mabaya, ni kazi ya walio chini yake haya law enforcement organs kama DPP, Idara ya sheria, Upelelezi na wengineo ndani ya jeshi la polisi.
Kama ndio hivo mbona waziri wa katiba na sheria amesoma sheria

Au unataka niambia hata mtu akisoma maswala ya hotel management au tourism anaweza akawa waziri wa katiba unaaminisha hivyo si ndio
 
Hili swali nilikutega sana na nimegundua umefail kulijibu. Mawaziri ni wanasiasa na siyo watendaji kazi kajifunze kwanza hilo na utafakari halafu uje na mawazo mengine. Kama Rais atataka kupata watendaji wenye fani za wizara basi itakua vigumu sana. Halafu usidhani Waziri anapojibu yale maswali bungeni anakua ameyatarisha yeye mwenyewe anapewa na wataalamu elewa hili.
Kwaiyo unaa maana hata kama mtu amesomea computer applications anaweza kuwa waziri wa katiba na sheria si ndio
 
Unachosema mtoa mada n sahihi kabisa...kwa sasa bila knowledge kubwa ya IT polisi wanajisumbua bure....mambo yamebadilika sana wengi wanachangia kishabiki bila uelewa...nami naona waziri alibadilishe jeshi letu liwe la kitechnologia zaid sio kukomaa na ulinzi shirikishi
 
Mkuu ivi unamfahamu WAZIRI wa mambo ya NDANI wa UK ,
Kama ulikuwa hujui google CV yake[/QU
Sihitaji ku google, maana ninaufahamu wa ndani zaidi ya wewe msafiri, halafu mfumo wa UK upo tofauti na wa kwetu. Hapa wana Secretary of State ambaye ndiye mkuu. Halafu wana idara ambazo Labour walizitenganisha walipo kuwa madarakani na kuweka Boarder agency, Policce na Customs. kama unategemea ku google basi usichanganye kabisa kati ya waziri wa mambo ya ndani wa UK na wa Tanzania. Tanzania tuna home affairs ministry ambayo pia ina katibu mkuu, UK wana secretary of state. Tanzania tuna waziri wa fedha, lakini UK wana Chancellor of exchequer. Sasa unaposafiri katika hizo nchi na kusoma katika magazeti basi jaribu kuuliza watu wakueleweshe ili uone tofauti.
 
Kwaiyo unaa maana hata kama mtu amesomea computer applications anaweza kuwa waziri wa katiba na sheria si ndio
soma pale uliponitukana kama mimi ni mtu wa ku google nimekufahamisha vizuri tofauti za serikali za wenetu na sisi.
 
Back
Top Bottom