Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

Malecela alibadili dini baada ya kuahidiwa wa Iran kuwa watamsaidia kuwa Rais wa Tz yeye pamoja na Kigoma malima
Baada ya nyerere kujua mipango yao malima akakimbilia UK.
So John akabaki asijielewe yeye ni mkristo au muislam coz aliingia huko kwa ajili ya urais akaitwa Jumanne. But anaona aibu kujitangaza hadharani coz aliingia kimagumashi.
Kama ambavyo nasikia na M.E.M.B.E nae etii kabadili kimya kimya for the same reason but wote imekula kwao
 
Kilichotokea kwake baada ya kubadili dini na kua muislamu ndio kile kile kilichomtokea Membe baada ya kubadili dini na kua muislamu.
Wote hawa walikua waanglikana na wote waliukosa urais hivi hivi kwa sababu hiyo hiyo.
 
Aaah wapi nasikia John karudi kundini kimya kimya!! Coz Familia nzima ilimtolea macho baada ya dili kushindikana
 
Mh. Pinda alibadili kwani? sikuwahi kuiisikia hii!

Kwake haikuwa vigumu kwa vile hata mkewe ni uzao uleule. Lakini kikubwa ni uraisi. Aliahidiwa fedha za uraisi kwa masharti ambayo angewafanyia hao wafadhiri. Lakini sharti la kwanza likawa ni dini, mengine angefanya akiwa ikulu. Kipindi kile kile cha AntiGwajima movement!, n.k.
 
naona pumba tu humu. kama waliokusa kuteuliwa ccm ni watu 37 kwa nini tuko bize kuwajadili akina membe tu?
kama mzee malecela alibadili dini sisi inatuhusu nini? that is personal life. upuuzi wa aina yake huu.
 
Membe nasikia anaitwa Bakari Samwel Sitta anaitwa Salimu Abdulkadir ha ha ha ha ha ha ha.
 
Katika historia tunaelezwa wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere. John Malecela aliitwa na mwalimu akamwambia anafaa kuwa Rais hivyo ajiandae. Inasemekana baada ya kuambiwa hivyo na mwalimu kwanza John alimweleza mkewe na alipofanya ziara nchini Iran alimweleza Mfalme kuwa anatarajia kuwa Rais wa Tanzania na hapohapo akapewa jina la Jumanne.

Kama mnavojua Iran ni nchi ya kiislam. Inasemekana baada ya kufika Tanzania kutoka ziara mwalimu alimfukuza akaenda kujificha kijijini kwao kongwa. Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Naamini hapa JF kuna watu wazima waliokuwepo kipindi hicho tunaomba mtueleze ukweli wa jambo hili. Je ni kweli?

Nawasilisha.
 
Kwanza Malecela kwao sio Kongwa acha uongo. Kwao ni Mvumi

Pili ni kweli "inasemekana" alisilimishwa na kuwa muislam ili apewe hela za kampeni na Jina alilopewa ni hill Jumanne

Tatu, katika uchaguzi wa 1995 hakuna aliyekua na nguvu kumshinda Malecele(Chigweyemisi) kwao ndo wanamuita hivyo kimeanguka mchana sijui kwanini

Nne, bila msuli wa mwalimu hata ule mpambano wa Mkapa na Kikwete usingetokea Malecela angeshinda mapema sana

Tano, Hakua na haiba wala uwezo wa kuwa Rais kwa mtazamo wangu. Na Nyerere alifanya vizuri sana kumblock
 
Hujaelewa

Malecela alikuwa waziri wa kawaida wakati wa Nyerere ..
Nyerere alipanga kumpa uwaziri mkuu
Ndo inadaiwa akafanya Sherehe nyumbani kwake kabla ya kuteuliwa
Nyerere aka cancel uteuzi..

Hivyo hakufukuzwa cheo chochote
Ila alipewa uteuzi mwingine


Wakati Mwinyi anakuwa Rais ..
Wapambe wakamshauri Ampe Malecela uwaziri mkuu
Main reason watu walitaka wapate watu
Ambao sio vibaraka wa Nyerere

Nyerere bado alionekana anaingilia urais wa Mwinyi.. kwahiyo Kumteua Malecela kum replace Warioba ilikuwa ideal kuwa anaondoka kibaraka wa Nyerere (Warioba)
Anakuja mtu aliepishana na Nyerere huko zamani...

Jina la Jumanne alizushiwa wakati anataka kuwa Rais..alizushiwa na wapinzani wake kuwa kabadili dini ili Mwinyi ampendelee Urais na apate pesa za nchi za kiisalam zimsaidie kampeni..

Ukweli hakubadili dini..maadui zake walimpakazia..Ila alikuwa so powerful
Mpaka Nyerere akamlazimisha ajitoe kugombea urais ndo Mkapa akapita
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom